DIT vs UDSM(COET) projects

DIT vs UDSM(COET) projects

AMAN32

Senior Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
110
Reaction score
55
Kumekuwa na threads mbalimbali za kulinganishwa vyuo hivi Dit na Coet eti kipi ni bora,sasa tulinganishe projects zao kati ya dit na coet tuone wapi wako vizuri,wanaosema coet watoe na ushahidi wa projects zao zinazotambulika na dit vivyo hivyo karibuni wadau
 
Ebu tuwekee rank ya vyuo hivi kwanza kwa ubora duniani ndio tuanze kudadavua zaidi
 
Hahahaha yaani unalinganisha institute na university - coet . Hebu acha kulinganisha coet na mambo yakijinga.

Yaani projects au researches na publications ndizo zinazoweka chuo kuwa juu na bora kuzidie mwenzake.

Sasa hiyo institute yenyewe inafundishwa na walimu Toka coet ambao ni sample tu.
 
Kumbe COET ni University.....
 
Kumekuwa na threads mbalimbali za kulinganishwa vyuo hivi Dit na Coet eti kipi ni bora,sasa tulinganishe projects zao kati ya dit na coet tuone wapi wako vizuri,wanaosema coet watoe na ushahidi wa projects zao zinazotambulika na dit vivyo hivyo karibuni wadau
Umekosea sana, huwezi linganisha Institute na University, wanaofundisha DIT wanatoka UDSM! Au labda ulimaanisha kivingine...
Hahahaha yaani unalinganisha institute na university - coet . Hebu acha kulinganisha coet na mambo yakijinga.Yaani projects au researches na publications ndizo zinazoweka chuo kuwa juu na bora kuzidie mwenzake. Sasa hiyo institute yenyewe inafundishwa na walimu Toka coet ambao ni sample tu.
Hapo sasa, sijuwi kwanini watu wanaidharau UDSM?! Kama wewe mbabe wa elimu nenda pale ukashindane na mmoja wao uone cha moto...
 
nilikutana na wanafunzi wa COET field ni pumba tupu kila kitu hawajui
Umekosea sana, huwezi linganisha Institute na University, wanaofundisha DIT wanatoka UDSM! Au labda ulimaanisha kivingine...

Hapo sasa, sijuwi kwanini watu wanaidharau UDSM?! Kama wewe mbabe wa elimu nenda pale ukashindane na mmoja wao uone cha moto...
 
nilikutana na wanafunzi wa COET field ni pumba tupu kila kitu hawajui
Naona hatuelewani, DIT ni institute, UD ni University, kama waongea swala wanafunzi vs wanafunzi hayo mengine, ila nachojuwa DIT inafundishwa na walimu waliotoka UD..
 
Back
Top Bottom