DIT vs UDSM(COET) projects

DIT vs UDSM(COET) projects

Naona hatuelewani, DIT ni institute, UD ni University, kama waongea swala wanafunzi vs wanafunzi hayo mengine, ila nachojuwa DIT inafundishwa na walimu waliotoka UD..
DIT ilianzishwa special kwa ajili ya kuzalisha engineers na technician wabobezi ili kuziba gape la wataalamu wanaokosekana Tanzania na wale walokuwa wanazalishwa na vyuo vilotangulia kabla ya DIT kukosa skills kwenye soko la ajira huko nyuma UDSM walishawahi kuomba Engineering syllubus za kufundishia kutoka DIT na wanazitumia hadi leo unajua haya?
 
Sijuwi asante kwa kutuhabarisha..
 
Hahahaha yaani unalinganisha institute na university - coet . Hebu acha kulinganisha coet na mambo yakijinga.

Yaani projects au researches na publications ndizo zinazoweka chuo kuwa juu na bora kuzidie mwenzake.

Sasa hiyo institute yenyewe inafundishwa na walimu Toka coet ambao ni sample tu.
UWE NA AKILI BASI.. kwhy Massachusetts Institute of Technology (MIT) utasema kipo chini ya UDSM kwakua UDSM ni University???
 
Hahahahaha yani hua nashangaa sana tu vyuo tudogotudogo ndio hua wanajiringanisha na UDSM Ila hata siku moja huwezi kuta UDSM ikajiringanisha na vyuo vingne

Na katika hali ya kawaida kitu dhaifu hua kinatafuta kila namna ya kuangalia ubora wake na kitu ngangali maana Ile ndio standard ya ku conform

Coet hawanAga mda Wa kujilinganisha na vyuo vingine sababu najua inafahamika wazi

Sign out
 
Huu Uzi ni second batch,

Ule wa kwanza kuna bwana amewapa hoja hamjajibu ata moja mkaamua kuanzisha Uzi mwingine,

Acheni hizo
 
UWE NA AKILI BASI.. kwhy Massachusetts Institute of Technology (MIT) utasema kipo chini ya UDSM kwakua UDSM ni University???
Hao MIT ni balaa mkuu, harvard wana title kubwa lakini when it comes to technology innovations wanakaa japo wao ni university kama wanavyojinasibu UDSM, so DIT japo ni institute wanaweza wakawa vizuri kiteknolojia kuliko hao COET
 
Hahahahaha yani hua nashangaa sana tu vyuo tudogotudogo ndio hua wanajiringanisha na UDSM Ila hata siku moja huwezi kuta UDSM ikajiringanisha na vyuo vingne

Na katika hali ya kawaida kitu dhaifu hua kinatafuta kila namna ya kuangalia ubora wake na kitu ngangali maana Ile ndio standard ya ku conform

Coet hawanAga mda Wa kujilinganisha na vyuo vingine sababu najua inafahamika wazi

Sign out

jibu mujarabu kabisa embu agiza bapa moja nije kulipa mkuu
 
MIMI NINACHOFAHAMU KUHUSU HAWA JAMAA WA DIT WENGI NI WALE VILAZA WALIOFELI NA KUAPGRADE KWA VI CERTFICATE,DIPLOMA NK, HUWEZI SIJUI SIKU HIZI LABDA KWA AJIRI TU YA UGUMU WA MAISHA UTAKUTA MTU ANAENDA PALE .HIVI KUNA TANZANIA ONE(TO) HATA MMOJA AMEWAHI KUWA REGISTERTED DIT?
 
Ila nimeona jamaa kaongelea project hebu jaribuni kuonesha project zilizofanywa na wana Coet na za wana DIT tuone ni wapi wana project kali au tupate watu kama wakina Mello walo tengeneza forum hii hadi leo mnapata nafasi ya kubishania tunaombeni hizo project sio maneno mengi yasio jenga mifupa tunataka tuone hao ma TO wameifanyia nini Tanzania....
 
Mi nimesoma DIT ubora wa hiki Chuo ni kwamba kinamtengeneza mwanafunzi aweze kua self employed kutokana na mbinu za ufundishaji
 
Hao MIT ni balaa mkuu, harvard wana title kubwa lakini when it comes to technology innovations wanakaa japo wao ni university kama wanavyojinasibu UDSM, so DIT japo ni institute wanaweza wakawa vizuri kiteknolojia kuliko hao COET
Hizo ni ndoto za alinacha mkuu
 
Back
Top Bottom