DIT vs UDSM(COET) projects

DIT vs UDSM(COET) projects

Hahahaha yaani unalinganisha institute na university - coet . Hebu acha kulinganisha coet na mambo yakijinga.

Yaani projects au researches na publications ndizo zinazoweka chuo kuwa juu na bora kuzidie mwenzake.

Sasa hiyo institute yenyewe inafundishwa na walimu Toka coet ambao ni sample tu.
Hata MIT(Michigan Institute of Technology) ni institute ila habari yake duniani watu anaijua.
 
Hahahaha yaani unalinganisha institute na university - coet . Hebu acha kulinganisha coet na mambo yakijinga.

Yaani projects au researches na publications ndizo zinazoweka chuo kuwa juu na bora kuzidie mwenzake.

Sasa hiyo institute yenyewe inafundishwa na walimu Toka coet ambao ni sample tu.

Kwenye project DIT, MUST, ATC wako vizuri sana.
 
Umekosea sana, huwezi linganisha Institute na University, wanaofundisha DIT wanatoka UDSM! Au labda ulimaanisha kivingine...

Hapo sasa, sijuwi kwanini watu wanaidharau UDSM?! Kama wewe mbabe wa elimu nenda pale ukashindane na mmoja wao uone cha moto...

Elimu mwanafunzi anayopata pale DIT, MUST au ATC ni nzuri zaidi ya mtu anaepata pale COET.
 
lengo la kila project ni kuongeza thamani katika jamii au kutatua tatizo ktk jamii ili izidi kustaarabika.
zilinganishwe projects na impacts zake kwetu wananchi sio kelele za kubishania maneno.

mfanoDIT Waliwahi kudsign system ya kuzuia wizi wa mafuta ya transformer.
COET:Kuna idara ilifanya project ya kubadili kinyesi kuwa mkaa biocher badala ya kinyesi kwenda baharini.
 
Umekosea sana, huwezi linganisha Institute na University, wanaofundisha DIT wanatoka UDSM! Au labda ulimaanisha kivingine...

Hapo sasa, sijuwi kwanini watu wanaidharau UDSM?! Kama wewe mbabe wa elimu nenda pale ukashindane na mmoja wao uone cha moto...
Udsm wazuri ktk kuhifadhi vitu kichwani ila hawako practical, huu ni ukweli. Tunakutana nao huku mitaani, wanajivunia kutoka udsm coet ila kiupambanaji, bado! Wakiingia kazini kati ya wa udsm na dit, ni vitu viwili tofauti! Wa dit mara nyingi wako practical na wanajua vitu vingi, pia wapo current na trend ya technology duniani.
 
Hahahaha yaani unalinganisha institute na university - coet . Hebu acha kulinganisha coet na mambo yakijinga.

Yaani projects au researches na publications ndizo zinazoweka chuo kuwa juu na bora kuzidie mwenzake.

Sasa hiyo institute yenyewe inafundishwa na walimu Toka coet ambao ni sample tu.
Unajua kuwa MIT inashindanishwa na Yale, Oxford etc!???
 
Mtoa hoja hujaonyesha unataka kupambanisha DIT na UDSM kwenye eneo gani maana kwa kuanzia tu kwenye ithibaki zao ni kuwa UD ni knowledge based trainings while DIT is competence based trainings kwa hiyo tayari kwenye utendaji wao wanatofautiana kwenye wanafunzi waliomaliza japo kwa sasa DIT wanatoa mpaka master kama ilivyo kwa COET ambacho ni college ya UDSM.Kwa hiyo hata project zao zinaweza kuwa tofauti sana kama ndy unataka kuziangalia maana tayari DIT kwa huduma za kijamii wamefanya mengi zaidi kuliko COET kutokana na wao ni Knowledge based na kwa upande wa wa paper publication COET wakufunzi wanazo paper nyingi zaidi ambazo labda inawezekana DIT wamezitumia for implimentation kwa hiyo hamna sehemu unaweza kuzilinganisha pamoja unless useme wewe mtoa muda unataka kulenga wapi ili wadau wakupe mfano hapo juu kuna mdau amesema DIT wanafanya project za Trafiic lights na wamefanya maeneo mengi Jiji la dar Es salaama na kule Zanzibar,wizi wa mafuta ya kwenye transfomer Tanesco,various packing machine,Incubators machines,mizinga ya nyuki ya kielectronic,kubadili petrol engine kwenda GAS na vingine vingi ambavyo vinamlenga mwananchi wa kawaidas unaweze kujiridhisha kwenye tovuti yao Ila kwa COEt wao wapo kwenye publication
 
Hilo la DIT kuwa competence based trainings linawatofautisha na wanafunzi wengi katika utendaji wa kazi za viwanda na hili halikufanywa kimakosa lilifanywa kimkakati zaidi na serikali ndiyo maana kwenye hivyo vyuo vinavyofanana na DIT kama ATC na mbeya university walikuwa wanachukua wanafunzi walifaulu vizuri maana hao walikuwa kwa ajili ya viwanda na miaka ya nyumba walikuwa wanaishia kwenye level ya Advanced Diploma lakni kutokana na mabadiliko ya technologia ndiyo kwa sasa wanaenda mpaka level ya master
 
Japo wantofautiana lakin wanahitajika sana katika kusaidiana kuendeleza au kuanzisha viwanda maana kwa maneno mengina rahisi ni kuwa mmoja anaweza kuwa na wazo na linawekwa kwenye mchoro na mwingine analihamisha kwenda kwa hali halisi
 
Hahahaha yaani unalinganisha institute na university - coet . Hebu acha kulinganisha coet na mambo yakijinga.

Yaani projects au researches na publications ndizo zinazoweka chuo kuwa juu na bora kuzidie mwenzake.

Sasa hiyo institute yenyewe inafundishwa na walimu Toka coet ambao ni sample tu.
Unaweza lingansha Massachusetts Institute of Technology na COET?
 
Kumekuwa na threads mbalimbali za kulinganishwa vyuo hivi Dit na Coet eti kipi ni bora,sasa tulinganishe projects zao kati ya dit na coet tuone wapi wako vizuri,wanaosema coet watoe na ushahidi wa projects zao zinazotambulika na dit vivyo hivyo karibuni wadau
Bila shaka we ni ngwini
 
Weka hizo projects unazozijua ili wadau walinganishe.
 
Mtoa hoja hujaonyesha unataka kupambanisha DIT na UDSM kwenye eneo gani maana kwa kuanzia tu kwenye ithibaki zao ni kuwa UD ni knowledge based trainings while DIT is competence based trainings kwa hiyo tayari kwenye utendaji wao wanatofautiana kwenye wanafunzi waliomaliza japo kwa sasa DIT wanatoa mpaka master kama ilivyo kwa COET ambacho ni college ya UDSM.Kwa hiyo hata project zao zinaweza kuwa tofauti sana kama ndy unataka kuziangalia maana tayari DIT kwa huduma za kijamii wamefanya mengi zaidi kuliko COET kutokana na wao ni Knowledge based na kwa upande wa wa paper publication COET wakufunzi wanazo paper nyingi zaidi ambazo labda inawezekana DIT wamezitumia for implimentation kwa hiyo hamna sehemu unaweza kuzilinganisha pamoja unless useme wewe mtoa muda unataka kulenga wapi ili wadau wakupe mfano hapo juu kuna mdau amesema DIT wanafanya project za Trafiic lights na wamefanya maeneo mengi Jiji la dar Es salaama na kule Zanzibar,wizi wa mafuta ya kwenye transfomer Tanesco,various packing machine,Incubators machines,mizinga ya nyuki ya kielectronic,kubadili petrol engine kwenda GAS na vingine vingi ambavyo vinamlenga mwananchi wa kawaidas unaweze kujiridhisha kwenye tovuti yao Ila kwa COEt wao wapo kwenye publication
Hii comment imebeba comments 50 za humu ndani.
Vyuo vya kati kwenye miradi yao ndio bora kuliko vyuo vikuu kwenye tasnia linganifu
 
Wengi mnaongea kisiasa ila sisi tuliokwenye field tunajua umuhimu wa vyuo vyote viwili na lengo la kuvianzisha havijaanzishwa kwa maana hiyo ya ushindanishwaji
 
Kumbe COET ni University.....
Kama graduets wa udism hawawezi kutofautisha neno college, institute, university na university college basi tuna kazi ya ziada ya ziada ya kuendelea kukagua uwezo wa graduets wetu.
Mimi nipo kidato cha tatu lakini ninafahamu vizuri tofauti zake.
COET NI COLLEGE PIA.
MPUMBAVU HUYO
 
Unamaanisha wapo Coet, wanajutia kuwepo Coet
Ndio mfano ni mimi binafsi nilimaliza DIT diproma ya Civil Engineering nikaja coet degree naingia kwaka wa 4 sasa ila najuta kwa nini hawakunibakiza DIT kwa sababu hadi saizi knowledge nilizo pata diproma ndo zinanisaidia hadi saizi kuliko ninacho kipata saizi zaidi ya Umbea mwingi bila action.
 
Back
Top Bottom