Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,085
dont waste food
Weye umeongea point hivi nakula nimebakiza nataka kumwaga wallah ntajilazimisha nkimalize...god bless u
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
farkhina, hicho ni kitu unachopaswa kuwafundisha na wanao pia. Ni marufuku kubakisha hata punje moja ya mchele kwenye sahani (im exaggerating hehehe). Yaani na ukiacha chakula kikaharibika inabidi utubu Mola akusamehe! Na wakati wanachagua chakula na kusema sitaki maharage waambie kuna watoto somalia wanautamani uji wa chumvi usio hata na siagi wala maziwa na hawajui watauona lini!
Heeee nani katumia ID ya King'asti leo? ???!!!!
Aseee kapiga mapwenti mbaya kabisa, natamani na dadangu mwenye ID hii angekuwa kama huyu alohak!!!!!!
Weye umeongea point hivi nakula nimebakiza nataka kumwaga wallah ntajilazimisha nkimalize...god bless u
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ha ha haaaaaa najua sana ila siri ya moyo mie usijekimbia bila ya nanii kwa masifa!!!!!hahaha, kaka, im a very good gal. Tena bonge la dream wife (wacha nijifyagilie banaa). sema tu bhange hizi kuna saa tembo analitia maji ku-dilute!:brushteeth: