Dispenser ya kuchanganyia juice inahitajika

Dispenser ya kuchanganyia juice inahitajika

fixit KEM

Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
89
Reaction score
64
Habari za jioni wadau,

Jamani natafuta dispenser ya kuchanganyia juice yenye walau uwezo wa kuhifadhi lita 20 za juice, kama kuna mdau anajua wapi zinapatikana kwa bei chee ama mdau mwenye nayo anaiuza(used) ani PM.......

Jioni njema.
 
Back
Top Bottom