Discussion 18+

Discussion 18+

We vivian leo jumangapi? Isijekuwa umedhani leo IJUMAA kama ilivyo kawaida yako! Last ngoja tuimuvuzishe MMU.
 
Last edited by a moderator:
vivian wanaume kuvaa hiyo wanageukia kiupande kama siyo kugeuka kabisa,
sijajua ni kwanini pengine wanataka kujihakikishia usalama wao zaidi,
sasa utairekebishaje na akimaliza tu ngoma ndo inogile.

but kivyangu siyo muumini sana ndio maana imenikosti kuwa alone miaka mingi
kwa kutokujua kama ndom itaweza kunipa starehe ninayoihitaji.
 
Last edited by a moderator:
We vivian leo jumangapi? Isijekuwa umedhani leo IJUMAA kama ilivyo kawaida yako! Last ngoja tuimuvuzishe MMU.

Finally you are here maana nimekuita weee...haya kazi kwako hapa sijui moran nao huwa wanatumia kinga
 
Last edited by a moderator:
Condom ya kike mbayaaa...yaani ili mtu aivae inabidi kwanza sijui ajipige puchu ili iweze kupenya. Ni kama kusokomeza lile tambara ya kukingia unga mashineni kwenye kisalfeti.
 
Sipendi kuvaa condom mwenyewe, ni lazima nivalishwe kwangu huwa ni sehemu moja wapo ya maanadalizi ya ku-do kama ilivyo ku-kiss
 
Condom ya kike mbayaaa...yaani ili mtu aivae inabidi kwanza sijui ajipige puchu ili iweze kupenya. Ni kama kusokomeza lile tambara ya kukingia unga mashineni kwenye kisalfeti.

Shemeji unajua unanitukana hadi mimi?
 
kwa nini utumie condomu?
wapi imeandikwa katika maandiko?
acheni kumkosoa mungu
kutumia condomu ni sawa na kufanya tendo kinyume cha maumbile. maana toka asili haijapendekezwa hivo
 
kwa nini utumie condomu?
wapi imeandikwa katika maandiko?
acheni kumkosoa mungu
kutumia condomu ni sawa na kufanya tendo kinyume cha maumbile. maana toka asili haijapendekezwa hivo

Smile nakuunga Mkono.
Binafsi ukitaka ufaidi tendo la ndoa usivae kondomu.
Cha umuhimu ni Kufanya Safe sex.
 
Last edited by a moderator:
dahhhhhhh

Ntahakikisha amevaa either nimvalishe au avae mwenyewe ..
ninachoelewa nahakikisha amevaa.

PS. Huwa napenda kusisitiza condom.
Cha muhimu kama we na partner hamtaki usumbufu kapimeni.
tu , halafu bidada tumia njia nyingine kuzuia mimba . mui njoy life.

saa nyingine kula pipi kwenye kinailoni ni ngumu.
so fanya mapenzi na partner wako tu . Na mpime mara kwa mara.

Ila kwa wale bado viruka njia au wakuu zangu wa nyumba ndogo "CONDOM" iwe sala ya baba yetu .Amen.
 
kwa nini utumie condomu?
wapi imeandikwa katika maandiko?
acheni kumkosoa mungu
kutumia condomu ni sawa na kufanya tendo kinyume cha maumbile. maana toka asili haijapendekezwa hivo

kha!!! tugegedane kavu kavu jamani
 
kumbe wanawake wengi wanapenda gegedwa kavu kavu...ndio maana hambishagi jamaa akiingiza bila ndom lol
 
Wapi imeandikwa mwanadamu avae nguo???
Wapi imeandikwa mwanamke aweke dawa nywele?
Wapi imeandikwa mwanadamu atumie kompyuta?

kwa nini utumie condomu?
wapi imeandikwa katika maandiko?
acheni kumkosoa mungu
kutumia condomu ni sawa na kufanya tendo kinyume cha maumbile. maana toka asili haijapendekezwa hivo
 
Wapi imeandikwa mwanadamu avae nguo???
Wapi imeandikwa mwanamke aweke dawa nywele?
Wapi imeandikwa mwanadamu atumie kompyuta?
hapa tunazungumzia mambo ya mwili
tendo la ndoa ni uumbaji toka kwa Mungu! lifanyike kama lilivoumbwa
 
dahhhhhhh

Ntahakikisha amevaa either nimvalishe au avae mwenyewe ..
ninachoelewa nahakikisha amevaa.

PS. Huwa napenda kusisitiza condom.
Cha muhimu kama we na partner hamtaki usumbufu kapimeni.
tu , halafu bidada tumia njia nyingine kuzuia mimba . mui njoy life.

saa nyingine kula pipi kwenye kinailoni ni ngumu.
so fanya mapenzi na partner wako tu . Na mpime mara kwa mara.

Ila kwa wale bado viruka njia au wakuu zangu wa nyumba ndogo "CONDOM" iwe sala ya baba yetu .Amen.
kwa nini mtumie?
 
Back
Top Bottom