JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
good! wahi shule
hivi zile za kwenu lady pepeta zipo?? sijawahi kukutana nazo kabisa kwa hizo mi lena kabisaa.
1. mimi huwa napenda sana kama atanivalisha mwenyewe kwanza anakuwa amejiridhisha kuwa iko salama na imekaa vizuri.
2. kwa sisi wenye vitambi saa nyingine huwezi ona kama imekaa vyema, ukijikunja sana kujamba au kupuu kabisa au labda uende kujiangalia kwa kioo
3. kutokana na ile mihemuko unaweza kujikuta umeivaa ikakaa kama kata K baadae uko kwenye 130kph ikazingua na ikilipuka ile hatoki mtu utasikia hapo hapo... utafikiri mmetumbukia kwenye pipa la asali.