afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,151
- 9,273
kwa nini mtumie?
hivi kweli hujui kwa nini watu wanatumia condom ?
kwa nini mtumie?
nadhani ni kwa ajili ya uhuni tuhivi kweli hujui kwa nini watu wanatumia condom ?
nadhani ni kwa ajili ya uhuni tu
unaposex na mtu kwa kutumia condmu ina maana unajua ni mgonjwa sio? kwanini sasa u duu na mgonjwa? kwa nini ucheze kwenye mdomo wa mamba?hahahahahaha haya bana.
Mi nadhani ni kwa ajili ya kujikinga na magonjwa pamoja na unplanned pregnancy.
unaposex na mtu kwa kutumia condmu ina maana unajua ni mgonjwa sio? kwanini sasa u duu na mgonjwa? kwa nini ucheze kwenye mdomo wa mamba?
Hiyo ni kawaida sana tu, inategemea na culture ya maeneo unayoishi, tumeisha valishwa sana tu.Men: will you allow a woman to help you Put on a Condom?
Tell us Why?
Wemen: Will you help you partner put on a condom? Tell us why?
Mods. I dont think whether this should go to that Southern Forum. It is a healthy Discussion.
![]()
hapa tunazungumzia mambo ya mwili
tendo la ndoa ni uumbaji toka kwa Mungu! lifanyike kama lilivoumbwa
unaposex na mtu kwa kutumia condmu ina maana unajua ni mgonjwa sio? kwanini sasa u duu na mgonjwa? kwa nini ucheze kwenye mdomo wa mamba?
hapo red kwa nini usifanye na ambae una uhakika nae? ni ngumu saaana kupata uhakika wa mtu?sidhani kama kuna mtu mjinga kiasi hicho.
unapotumia condom ni kwamba hujui kama huyo
unaefanyanae mapenzi ana magonjwa ama La.
Ndio maana ya kujikinga.
Na haya magonjwa ya zinaa hayapimwi kwa macho. So ni vigumu sana
kujua na mzima nani si mzima. Ndio maana ya condom.
hapo red kwa nini usifanye na ambae una uhakika nae? ni ngumu saaana kupata uhakika wa mtu?
kwa nini utumie condomu?
wapi imeandikwa katika maandiko?
acheni kumkosoa mungu
kutumia condomu ni sawa na kufanya tendo kinyume cha maumbile. maana toka asili haijapendekezwa hivo
Smile nakuunga mkono sana kwa hili....asilimia kubwa ya watu hawatumii condom....condom huwa inakumbukwaga baada ya shughuli....mimi zamani ilishanitokeaga sana, mpaka nikawa sinunui kabisa maana ni kupoteza pesa tu. Naingia na condom chumbani alafu nakumbuka wakati najisachi kutoa pesa ya kulipia chumba maana zinakua ziko mfukoni.
Hii kitu tamu ikiliwa kavu bwana askuambie mtu...ndo maana hamna mwanamke au mwanaume atastop kutia ndom ikipasuka...sana sana spidi ndo inaongezeka na ikipasuka tu mdada anakua kama anashtukavile na kuguna kwa utamu.
si ndo ukweli wenyewe lakiniShemeji unajua unanitukana hadi mimi?
namruhusu kwani shida ipo wapi kama ukiona haeleweki yaani wale one night stand its better unaitupia mwenyewe..
ni hayo tu kwa sasa..