Discordant Couple

Dah mwenyezi mungu wewe wajua tuepushie na uwalinde ambao tiyari wana hili gonjwa.

Baba mungu kupitia kwa wataalamu leta dawa uwaponye hawa wanao

Au mshushe mwanao yesu aje kwa mara nyingine awaguse tu wapate kupona. Huu ugonjwa unatesa

nimesoma uzi huu hadi machozi nimepata kila aina ya picha kichwani baba nilinde na umlinde mchumba wangu.
 
IPO hivi: Ambaye hana, kamwe hawezi kuupata, hata mkimpandikiza vijidudu, vitajifia vyenyewe, na hawezi kufanya maambukizi kwa njia yoyote, na akizaa na mtu mwenye maambukizi, mtoto anakuwa hana maambukizi.
Watu wa aina hii wapo wachache sana Duniani, na wote huwa na kundi la damu O ambayo inaongezeko Fulani hivi la +.
 
Asante kwa information! Imetusaidia wengi
 
Ndo tatizo la walokole wengine!!!
Wanapuuzia ushauri wa daktari kama vile yeye daktari anaongozwa na shetani!!!
 
Dr riwa asante kwa maelezo
 
Wenzangu wote kujitokeza kupima kuachana na mwenzi wako kosa no positive sio suluhu shirikiane kimkakati kama mmoja ameonekana ni Hiv positive
 
msamiati ndio umeniacha njia panda,Discondant Couple ndio couple ya namna gani,nijuzeni na mimi nijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…