Discordant Couple

sumu haijaribiwi kwa kuonja. nimesikitika na uamuzi aliochukua huyo kaka na ninatumaini itakuwa fundisho kwa wengine. using dawa haivunji imani yako kwa Muumba wako, religious zeals bado wana "imani potofu"

true love! nimempenda huyo kaka na namuombea Mungu ampe nguvu za ku-cope na mwanae.
 
Smile asante sana kwa kumuita Dr. Riwa. Nawe Dr wa ukweli asante kwa majibu yako. Umeelimisha wengi.​
thax dear ,umeona eeeh..uyu dk anataka mpenzi mtoe basi mwaj
 
thax dear ,umeona eeeh..uyu dk anataka mpenzi mtoe basi mwaj

Duh! Nawe mdogo wangu Smile mbona unanitania? Mie dada yenu jamani nilishakamilisha hizo hatua kitambo. Nilikuwa nawategemea nyie wadogo zangu mumtoe halafu we unaniambia mie? Atapata tu wa kumtoa.
 
Last edited by a moderator:
dunia ina mambo sana mkuu
 
Duh! Nawe mdogo wangu Smile mbona unanitania? Mie dada yenu jamani nilishakamilisha hizo hatua kitambo. Nilikuwa nawategemea nyie wadogo zangu mumtoe halafu we unaniambia mie? Atapata tu wa kumtoa.
mi sio mdogo wako niombe radhi binti! msaidieni dr jamani ona anatelekeza na hosptal kushinda huku mmu ila wapi
 
mi sio mdogo wako niombe radhi binti! msaidieni dr jamani ona anatelekeza na hosptal kushinda huku mmu ila wapi

Duh! Ngoja tuyaache hayo, nisaidie basi tumuitie na akina Ciello, Binti.com, amu and others.
 
Last edited by a moderator:
Am speechless!

Naomba niende nje ya topik, maana natetemeka kwa hofu. Unajamiiana na unaenjoy kabisa? ama unafanya kama obligation?

Kwenye kupata watoto, hamwezi pata mtoto kwa kupandikiziwa wewe mbegu za mmeo bila kukutana kimwili?

On the other hand, why mtoto mwingine? Angalau mnaye mmoja. Adoption can be an option too.
 
Kongosho umeuliza swali la msingi sana
hatunyanyapai lakini huyu mwanaume kwa kweli akubali tu ukweli amuache huyu dada kwa amani
 
Maana under my normal sanity, sidhani kama jogoo wangu atawika

Kongosho umeuliza swali la msingi sana
hatunyanyapai lakini huyu mwanaume kwa kweli akubali tu ukweli amuache huyu dada kwa amani
 
Maana under my normal sanity, sidhani kama jogoo wangu atawika
jogoo la "kisasa" linakushinda, ungekuwa na orijino je?

sio hicho tuu. imagine things like small cuts and bruises zinvyoweza kukurusha roho, ukijumlisha diet inayotakiwa kumaintain afya... wee acha tu. mi naona hawa hiv+/hiv- couples wamepewa upendo na ujasiri ambao sisi wengine hatuwezi ku-imagine
 

Mwana kondoo wa Mung uichukuae dhambi ya ulimwengu, usikie kuomba kwetu!!
 
jogoo la "kisasa" linakushinda, ungekuwa na orijino je?

Kwa hapo sijiwezi kabisa si la kisasa ama orijino

sio hicho tuu. imagine things like small cuts and bruises zinvyoweza kukurusha roho, ukijumlisha diet inayotakiwa kumaintain afya... wee acha tu. mi naona hawa hiv+/hiv- couples wamepewa upendo na ujasiri ambao sisi wengine hatuwezi ku-imagine

Mmmh, kwa kweli kama ni upendo wao si wa kawaida
Off course kumwacha haiwezekani
Ila mambo ya kikubwa siwezi, nitakuwa celibate happily than doing it
 
Big up Riwa na Mzizi Mkavu..you make it happen here..daahh!!your a real Dr.
 
Huu ndio ushauri wangu kwa huyo mama(Scientifically proved)

1/Mumewe aanze kunywa ARV baada ya kushauriana na Daktari, aanze kunywa at list miezi miwili kabla ya kukutana kimwili na mkewe.
(Hatari yake ni kwamba, hatatakiwa tena kuacha kunywa hizo dawa maisha yake yote!!)

2/Mwanamke anywe Hizo dawa za kupevusha mayai kama alivyoshauriwa na Daktari.
(Hatari yake ni kwamba kuna uwezekano wa kupata mapacha au watoto walioungana!!)

3/Mwanamke aanze kunywa dawa kinga(ARV Prophylaxis) masaa 6 kabla ya kukutana na mumewe na aendelee nazo mwezi nzima baada ya kukutana na mumewe
(Hatari yake zinachosha sana kimwili na Afya!!)

4/Mumewe afundishwe jinsi ya kufanya tendo kwa umahsusi, yaani ajichue tu nje ya uke na ikifika wakati wa ku-ejaculate ndio aingize ndani ya uke wa mwanamke na kumwaga manii kisha achomoe.
(Hatari yake mimba inaweza isishike!!)

*Kama huyo mama atafuata ushauri wote huu, atapunguza uwezekana wa kupata maambukizi kwa asilimia kubwa sana, lakini hatari ndogo ya maambukizi itabaki pale pale.

*Kumbuka hata kutumia Condom hakuzuii asilimia 100 kupata maambukizi ya virusi vya Ukimwi, yaani unaweza kutumia Condom na bado ukapata maambukizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…