Disco lililoingia Mmasai.

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,045
Reaction score
828,841
Katika hali ya kushangaza siku ya Jumamosi, sherehe ya harusi iliyotangazwa sana mpaka mitandaoni ilizua tafrani kubwa patashika nguo kuchanika.. huku bibi na bwana wakirushiana makonde ngumi na mateke ya kichina china tai chi na kung fu baada ya bwana harusi kugundua kuwa bibi harusi alikuwa na watoto watatu, si mmoja kama alivyokuwa ameeleza hapo awali
 
Cha kushangaza zaidi ni kuwa leo kuna harusi ya jirani, sasa sijui huyo jirani yeye atatushangaza na lipi tena.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…