Disco la nguvu la kesha siku mbili mfululizo MAKABURINI!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Disco la nguvu la kesha siku mbili mfululizo MAKABURINI!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jul 28, 2011.

1. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#1
Jul 28, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,834
Trophy Points: 280
Kama vile dar haiishiwi na vituko wiki iliyopita kulitokea msiba wa kijana mmoja anayetajwa kuwa ni mdogo wa mkurugenzi wa CLUb KAKALA pale Kigamoni!

Kituko cha aina yake kilikuwa ni pale maandalizi ya kuchimba kaburi maeneo ya magogoni karibu na Mikadi Beach, ndipo mziki wa disco ambao hutumika pale club ulipopelekwa makaburini sambamba na generator la uhakika na vinywaji vya kufa mtu!

Watu walikula na kunywa mpka siku mbili bila disco kuzimwa, kaburi lichimbwa likajengewa mbarumaru kwa ndani na bada siku mbili ndipo mwili wa kijana yule ukahifadhiwa pale!

Binafsi nilishindwa kutafsiri aina hii mpya ya msiba!

2. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#2
Jul 28, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,479
Likes Received: 12,758
Trophy Points: 280
Ni pouwa tuuu sometimes ukitafakari saaaaaaaana kulia hakusaidii

3. Domhome

Domhome JF-Expert Member

#3
Jul 28, 2011
Joined: Jun 28, 2010
Messages: 2,004
Likes Received: 1,054
Trophy Points: 280
Hiyo nayo ni moja ya sherehe kubwa saaaana ambazo kila mwanadamu lazima apitie. So, sometimes ni vyema kusherehekea badala ya kuomboleza!!

4. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#4
Jul 28, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,834
Trophy Points: 280

Ifanyikie makaburini?

5. Edson

Edson JF-Expert Member

#5
Jul 28, 2011
Joined: Mar 7, 2009
Messages: 9,202
Likes Received: 721
Trophy Points: 280
kama kabilla lake ni mjaruo ...sawa

6. Nebisirwe

Nebisirwe Senior Member

#6
Jul 28, 2011
Joined: Jul 27, 2011
Messages: 169
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Du! Mungu atusamehe sisi wakosefu(Ila hawajui walitendalo)

7. KIBURUDISHO

KIBURUDISHO JF-Expert Member

#7
Jul 28, 2011
Joined: Mar 28, 2011
Messages: 954
Likes Received: 79
Trophy Points: 45
Kama wanajionyesha wana uwezo sana wangelimnunulia uhai mwingine mara baada ya kuona mungu ameuchukua uhai wa kwake au pesa hizo wanazoharibu hivyo hakuna hata mwanandugu anayeteseka na umaskini??? MUNGU ATUSAMEHE SANA

8. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#8
Jul 28, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,834
Trophy Points: 280

Exactly tena chakushangaza huyo marehemu alikuwa mfanya kazi wa kiwanda cha bia akiwa kitengo cha bia ya Taska na kampuni hiyo ndiyo iliyo supply vinywaji vyote!!

9. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#9
Jul 28, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,834
Trophy Points: 280

Wanajua kabisa walitendalo ila ni jeuri tu!!

10. Emanuel Makofia

Emanuel Makofia JF-Expert Member

#10
Jul 28, 2011
Joined: Jan 5, 2010
Messages: 3,843
Likes Received: 18
Trophy Points: 135
hah hah kwa nini awekewe muziki
Atakuwa alikuwa ni mtaalamu wa VYA wATU

11. Domhome

Domhome JF-Expert Member

#11
Jul 29, 2011
Joined: Jun 28, 2010
Messages: 2,004
Likes Received: 1,054
Trophy Points: 280
...lengo hapa nadhani lilikuwa ni kuwapa motisha wachimbaji, kwa vinywaji na mziki mnene hasa ukizingatia bia zilikuwa za bwereer!!

12. Tiba

Tiba JF-Expert Member

#12
Jul 29, 2011
Joined: Jul 15, 2008
Messages: 4,511
Likes Received: 95
Trophy Points: 145
Inawezekana wafiwa ni wajaluo kwani kwao msiba ubadilika kuwa Disco la nguvu!!! Mila nyingine ni vituko wakati mwingine!!!

Tiba

13. Kiranja Mkuu

Kiranja Mkuu JF-Expert Member

#13
Jul 29, 2011
Joined: Feb 18, 2010
Messages: 2,100
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
aliikufa kwa nini? Huenda kaugua kwa muda mrefu sana kiasi ambacho alikuwa kisha anza kuwafilisi... Hapo wakashangilia kwa disko la haja mrija wa kukimbiza utajiri na mali umekatika

14. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#14
Jul 29, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,834
Trophy Points: 280

Unamaanisha wake za watu au pesa za watu?

15. jasirimali

jasirimali Member

#15
Jul 29, 2011
Joined: Jun 3, 2011
Messages: 29
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Labda wewe utuambie ulitakaje, ulitaka kusiwe na huo mziki au ulitaka asizikwe?

16. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#16
Jul 29, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,465
Likes Received: 19,842
Trophy Points: 280
watu washajichokea na maisha... siku ikishapika bas tunashukuru ..kila mtu lazima aende huko

17. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#17
Jul 29, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,465
Likes Received: 19,842
Trophy Points: 280
w
ewe huoni kuwa hii style ni mpya? mtu akifa lazima azikwe

18. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#18
Jul 29, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,834
Trophy Points: 280

Aheri umemwambia maana ningemjibu ningejihatarishia bun tu!!

19. D

Danniair JF-Expert Member

#19
Jul 29, 2011
Joined: Feb 18, 2011
Messages: 361
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Mh! sidhani hizo pesa za vinywaji zilitoka wapi? Au walizitenga pembeni.

20. Kamkuki

Kamkuki JF-Expert Member

#20
Jul 30, 2011
Joined: Feb 1, 2011
Messages: 1,067
Likes Received: 94
Trophy Points: 145
Wacha muchezo, ila mi nilikunywa kiroba teh teh teeh teeeh au nilibaguliwa?

Loading...