Disco la KISHUA

Disco la KISHUA

Bora umesema mkuu coz mie nimeona kitu ya mnyasa ile
Kwa taarifa yako Buji, Wanyakyusa ndiyo wameiga kwa Wanyasa!! Ile juu kabisa inaitwa ING'OMA na ya pili inaitwa NDINGALA. Ndingala ziko aina mbili: KITUMBWIKE na NSEGELA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom