Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,976
- 168,475
Hiyo kitu inaitwa LIPENENGA
Wanyasa wameiga, hii ngoma ya WanyakyusaInafanana na ngoma ya wanyasa
Inafanana na ngoma ya wanyasa









Mambo ya wakisi, wamanda, wangoni na wapangwa hayo.
ciello hyo ndo yanyumbani ni nzuri apana chezea
Wanyasa wameiga, hii ngoma ya Wanyakyusa
Jina NDINGALA limekaa ki mikwala sana....Kwa taarifa yako Buji, Wanyakyusa ndiyo wameiga kwa Wanyasa!! Ile juu kabisa inaitwa ING'OMA na ya pili inaitwa NDINGALA. Ndingala ziko aina mbili: KITUMBWIKE na NSEGELA