Discipline kwa watoto wetu

Discipline kwa watoto wetu

Mfano,kuna dada yangu ana mtoto mdogo ni mjanja na mtundu sana sasa mama yake huwa hamchapi anaongea tu wewe acha kufanya hivyo sasa mtoto wake kwasababu anajua mama hamchapi basi yeye ndio anazidisha utundu na ukorofi hadi majirani naona huwa wanakereka na yule mtoto sasa hivi karibuni nilikuwa nimekaa na dada yangu tuna maongezi yule mtoto akawa hatulii yeye ni fujo tu kwa kweli mimi napenda watoto na pia ninahuruma sana lakini nilijikuta nimepata hasira nilienda nje nikakata bakora nilirudi ndani nikamtandika kama tatu za matako akataka kuanza kulia nikamwambia kimya na utulie ukirudia nakutandika tena hapo alitulia hakusumbua tena tukaendelea na maongezi sasa hivi akiniona tu anakuwa na adabu nzuri.

NB:bakora ni muhimu katika kumnyoosha mtoto ukijifanya unatumia maneno tu jiandae kuja kusumbuliwa sana baadaye.

-Ndumilakuwili-
Safi mkuu
 
Leo Katika Pita Pita Zangu Mida ya Asubuhi Hivi Bahati Nzuri Nikakatisha Maeneo Ya Msikiti Mmoja wanaita Waswali Sun watoto Wakubwa Wengine Mpaka Miaka 16 Nikashuhidia Ustadh Anawalambisha Njukuti Za Maana Nikajisemea Hii Safi Sana Samaki Hapindi Wala Hajikunji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UNAHISI NISAHIHI WANAFUNZI KUCHAPWA MASHULENI ??

n.b mtoto anaanza 0-18 yrs. Labda tuanzie hapa.
Mimi naona ni sahihi kwasababu hata maandiko matakatifu yanaelekeza kuwa mtoto asinyimwe bakora! Imeandikwa mwana mpumbavu ni Mzigo Kwa mzaziwe! Eti unakuta mzazi anamwogopa mtoto wake [emoji87][emoji87][emoji87] ifike mahali hata mtoto anapokuwa amevuka miaka 18 bado tunasema mtoto Kwa wazazi hakui, mzazi lazima uwe na misimamo ya wastani ili mradi usiwachokoze watoto maana pia imeandikwa "enyi wazazi msiwachokoze watoto wenu" wazazi wengine wanataka kuabudiwa Yani ni zaidi ya kuheshimiwa! Wakuabudiwa ni Mungu pekee binadamu inabaki kuheshimiana! Halafu mzazi/Mlezi Kabla ya kumuadhibu mtoto kwanza litangulie Pendo la Mungu ndani na Mungu akikuangalia Moyoni anaona Kweli unampiga Kwa upendo ili awe mtoto Mwenye tabia njema na siyo kumtesa na kmuonea!
 
NAKUBALIANA NAWW 100%. ...... sababu moja tuuu ,,, Maandiko yasema... Huu utandawaz tuwaachie wenyewe
 
Mimi naona ni sahihi kwasababu hata maandiko matakatifu yanaelekeza kuwa mtoto asinyimwe bakora! Imeandikwa mwana mpumbavu ni Mzigo Kwa mzaziwe! Eti unakuta mzazi anamwogopa mtoto wake [emoji87][emoji87][emoji87] ifike mahali hata mtoto anapokuwa amevuka miaka 18 bado tunasema mtoto Kwa wazazi hakui, mzazi lazima uwe na misimamo ya wastani ili mradi usiwachokoze watoto maana pia imeandikwa "enyi wazazi msiwachokoze watoto wenu" wazazi wengine wanataka kuabudiwa Yani ni zaidi ya kuheshimiwa! Wakuabudiwa ni Mungu pekee binadamu inabaki kuheshimiana! Halafu mzazi/Mlezi Kabla ya kumuadhibu mtoto kwanza litangulie Pendo la Mungu ndani na Mungu akikuangalia Moyoni anaona Kweli unampiga Kwa upendo ili awe mtoto Mwenye tabia njema na siyo kumtesa na kmuonea!
Hakika hizi ni akili njema.
 
Back
Top Bottom