Discipline kwa watoto wetu

Discipline kwa watoto wetu

Si ndiyo maana nimesema fimbo zimebaki kwenye shule zetu za kata, unafikiri pale International School of Tanganyika wanachapa watoto?
Mmmhh sio kweli 95 % yashule ,,ziwe private au kata wanachapa fimbo ,,nakama hawachapi bado wananjia ya kutoa adhabu TU nasio eti " msirudie kosa "". Hiyo sijawahi iona.
 
Si ndiyo maana nimesema fimbo zimebaki kwenye shule zetu za kata, unafikiri pale International School of Tanganyika wanachapa watoto?
Ila bado hujajibu swali ,,NMEKUULIZA UNAHISI FIMBO NISAHIHI ?? YAAN WE UNAONAJE FIMBO ZISIWEPO AU ZIWEPO.???
 
Mmmhh sio kweli 95 % yashule ,,ziwe private au kata wanachapa fimbo ,,nakama hawachapi bado wananjia ya kutoa adhabu TU nasio eti " msirudie kosa "". Hiyo sijawahi iona.
hiyo ya usirudie kosa ni chumvi yako mkuu, hata kama wana njia za kutoa adhabu mara nyingi ni kumwita mzazi na kumwambia kosa la mwanae na ikiwezekana anapewa suspension.
 
Mahakaman ,,MTU anafungwa nabado anapewa viboko ...anaingia anapata 12 anatoka anapewa 12 nahapo amekaa gerezan miaka 10.

Sembuse mtoto nyumban ?????? Sky are you serious ???... Yaan mtoto kaiba ela ....uishie kumwambia "" usirudie ,,wizi nimbaya ???? " hahahah unanifurahisha.
Hahaha hakika ningelelewa na mama kama sky saivi ningekua sehemu mbaya sana, sababu nilikua nina ujuzi mkubwa sana kwenye udokozi na kilichoniokoa ni viboko vya mama na sio maneno ya ushauri na kuonya kutoka kwa mzee wangu (Baba yangu alikua na Ideology ya Sky).
 
Naam ,,unadhan iyo reflection nisababu ya kutopigwa ???? Usipomchapa mtoto kwanza unamjengea MAISHA magumu sana ..MAISHA ambayo yatamuathiri sana badae ...

Mtoto lazima achapwe viboko anapostahili na kuonywa Kwa maneno anapostahili ...maneno bila matendo sio kitu kabisaaa .....Nakam unataka mwanao apotee ,,wewe mlee ivo utakuja kuona....lazima mtoto ajue ,,nikikosea TU nitapewa adhabu na wazazi ...naikitokea kakosea mpaka we mwenyewe unaonaona TU Leo umuonye maana he or she is doing well.

Sasa we mlee mtoto akijua Nikikosea wazazi watanisema TU ..utaomba pooo. Nasitoshangaa ukawa wakwanza kumwambia "" izo akili zako umechukua zanani ??
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Zisiwepo.
Aahh Basi sawa !!. Kwaiyo unaona watoto waonywe ,wapewe Uhuru wakujieleza sio ???.

UNAHISI kwann mtoto ukimwambia jieleze lasivyo nakuchapa fimbo nahuku umeshika fimbo nikweli atajieleza ???? .

Sasa kunawatoto niwakavu balaa ..atakuambia ivi " mama nmeiba ela sababu shule nilitimwa ela yamchango " kumbe niuongo ..naww mzazi utasema ,,usirudie ,Siku nyingine ukitimwa uniombe sawa mwanangu "" .

Sasa unahisi umemsaidia ???.
 
Hahaha hakika ningelelewa na mama kama sky saivi ningekua sehemu mbaya sana, sababu nilikua nina ujuzi mkubwa sana kwenye udokozi na kilichoniokoa ni viboko vya mama na sio maneno ya ushauri na kuonya kutoka kwa mzee wangu (Baba yangu alikua na Ideology ya Sky).
Aiseee kama mama sky ndo angenilea ,,,,sijui hata ningekuaje aiseee Bonge LA zuzu
 
Nakumbuka nilivyokuwa primary , mama hua ana mradi wa kuku wa mayai, so mimi kuna siku nikaipitia hela ilikuwa buku mbili , mama kuja kujua ni mimi coz nilichelewa kurudi home, si akamwambia mzee mzima, apo ndio katoka kustaafu jeshi aiseeh sitakaa nisahau, watu wa arusha wanajua FARU ni nini likija swala la kupigwa nayo.

Mpaka leo nikiona hela isiyo yangu nazani ni mzee kanitegeshea , hakika kile kipigo kilininyoosha barabara.

Tukirudi sasa kwa upande wangu , kwa kweli ikitokea siku mtoto wangu ameiba na ushahidi upo, hakika itakuwa ndio mwisho wake wa kuiba. AMEN

driller⛏⚒
 
Shida inakuja mnaposhindwa kutofautisha Fimbo na Mateso .

Ivi kumchapa fimbo NNE ,nisawa na kumchoma moto ????.. Guyz !!!....

Hapo mama alipaswa kumchapa fimbo kisha amuonye ,, nasio "" unajua mwanangu wizi mbaya ,sawa mwanangu usirudie mwanangu " ...hatujengi ...

Labda mnisaidie mfano wamtu yoyote yule duniani mnayemjua ambaye hajawahi chapwa na wazazi wake au walimu ???.

Mzazi unaposema mtoto asichapwe Basi nibora useme namashuleni waschapwe fimbo ..maana hamna kinachobadilika kimalezi nyumban na shulen ...HAKUNA kosa analolifanya nyumban nashule asilifanye ,,je tuwaache ????

Aaahhh jaman embu tusijifurahishe let speak reality .......SOTE YUSINGEKUA HAPA KAMA WAZAZI WETU WANGEISHIA KUTUONYA KWA MANENO ..BINAFSI NMECHAPWA SANA MPAKA HAPA NILIPO NAMSHUKURU MUNGU NAWAZAZI WANGU KWASABABU WALINILEA PASIPO KUPENDELEA .

malez ya kutochapa Mara nyingi wanao single mother ,yaan wanadekeza sana watoto ,lkn familia ya baba namama ,,Baba nilazima achape tuuu Noway out nahuo ndo ukweli .
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Kwa upande wangu sidhani kama ni watoto wote wakichapwa bakora watakuwa waoga fulani ukubwani. Kama ni hivyo, mimi ningekuwa hopeless nambari wahed! Kwa sababu kwa yule MAMA yangu mwalimu, nilikula viboko vya kutosha utotoni. Lakini kujiamini kwangu nakujua mwenyewe. Ni zaidi ya kujiamini.
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Aahh Basi sawa !!. Kwaiyo unaona watoto waonywe ,wapewe Uhuru wakujieleza sio ???.

UNAHISI kwann mtoto ukimwambia jieleze lasivyo nakuchapa fimbo nahuku umeshika fimbo nikweli atajieleza ???? .

Sasa kunawatoto niwakavu balaa ..atakuambia ivi " mama nmeiba ela sababu shule nilitimwa ela yamchango " kumbe niuongo ..naww mzazi utasema ,,usirudie ,Siku nyingine ukitimwa uniombe sawa mwanangu "" .

Sasa unahisi umemsaidia ???.
Mawasiliano, kwanini usiwasiliane na mwalimu wake ujue kama kweli walitumwa mchango?
 
Nakumbuka nilivyokuwa primary , mama hua ana mradi wa kuku wa mayai, so mimi kuna siku nikaipitia hela ilikuwa buku mbili , mama kuja kujua ni mimi coz nilichelewa kurudi home, si akamwambia mzee mzima, apo ndio katoka kustaafu jeshi aiseeh sitakaa nisahau, watu wa arusha wanajua FARU ni nini likija swala la kupigwa nayo.

Mpaka leo nikiona hela isiyo yangu nazani ni mzee kanitegeshea , hakika kile kipigo kilininyoosha barabara.

Tukirudi sasa kwa upande wangu , kwa kweli ikitokea siku mtoto wangu ameiba na ushahidi upo, hakika itakuwa ndio mwisho wake wa kuiba. AMEN

driller⛏⚒
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Mawasiliano, kwanini usiwasiliane na mwalimu wake ujue kama kweli walitumwa mchango?
Ndo umewasiliana nae jibu hakuna mchango wowote, alafu unarudi tena nyumbani kumwuliza anakuambia huo mchango hauhusiki na michango ya shule nimepoteza kitabu, ukifuatilia unakuta umedanganywa tena hakuna kitabu wanachodaiwa wala nini. Kwakweli huo muda wa kubembelezana namna hiyo sina kabisa, viboko vitatu tu atafunguka vyote mpaka namna alivyotumia na chenchi kaiweka wapi.
 
Mpaka inafikia hapo inamaana labda humuelewi mtoto wako au hakuna trust kati yenu.
 
Mfano,kuna dada yangu ana mtoto mdogo ni mjanja na mtundu sana sasa mama yake huwa hamchapi anaongea tu wewe acha kufanya hivyo sasa mtoto wake kwasababu anajua mama hamchapi basi yeye ndio anazidisha utundu na ukorofi hadi majirani naona huwa wanakereka na yule mtoto sasa hivi karibuni nilikuwa nimekaa na dada yangu tuna maongezi yule mtoto akawa hatulii yeye ni fujo tu kwa kweli mimi napenda watoto na pia ninahuruma sana lakini nilijikuta nimepata hasira nilienda nje nikakata bakora nilirudi ndani nikamtandika kama tatu za matako akataka kuanza kulia nikamwambia kimya na utulie ukirudia nakutandika tena hapo alitulia hakusumbua tena tukaendelea na maongezi sasa hivi akiniona tu anakuwa na adabu nzuri.

NB:bakora ni muhimu katika kumnyoosha mtoto ukijifanya unatumia maneno tu jiandae kuja kusumbuliwa sana baadaye.

-Ndumilakuwili-
 
Ndo umewasiliana nae jibu hakuna mchango wowote, alafu unarudi tena nyumbani kumwuliza anakuambia huo mchango hauhusiki na michango ya shule nimepoteza kitabu, ukifuatilia unakuta umedanganywa tena hakuna kitabu wanachodaiwa wala nini. Kwakweli huo muda wa kubembelezana namna hiyo sina kabisa, viboko vitatu tu atafunguka vyote mpaka namna alivyotumia na chenchi kaiweka wapi.
Safi mkuuu ...Dada sky sidhan kama anawatoto tayari ..labda anatuenjoy tuuu.

Kwanza ameiba ,,pili anakudanganya ,,alafu mzazi ucheke ????????

HAYO NAKUACHIA WEWE SKY NA MALEZO YAKO BORA.
 
Back
Top Bottom