BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,930
Ndiyo maana tunabaki kuwa watu wa yes yes kwenye ardhi yetu na kuishia kusign mikataba inayotunyonya.
Tunaogopa vitasa bwahahahaha
Ndiyo maana tunabaki kuwa watu wa yes yes kwenye ardhi yetu na kuishia kusign mikataba inayotunyonya.
No nimejifunza kutokana na makosa, ninawapa watoto wangu uhuru wa kujieleza hata wakiwa na kosa, na ninawauliza kabisa kama wanaelewa kosa wanalofanya, hakuna vitasa, viboko wala matusi.Hahahahaaa! Mwanzo tu alishatutanabaishia kuwa hata yeye alikuwa anapokea vitasa, viboko na mazagazaga mengine ya adhabu.
Sasa basi, @skyeclat asiwe mchoyo wa kuwapatia watoto wake zawadi ya viboko.
Ukitaka mtoto anyooke mpe kiboko pale tu anapokosa,.. Itampa kumbukumbuHahahahaaa! Mwanzo tu alishatutanabaishia kuwa hata yeye alikuwa anapokea vitasa, viboko na mazagazaga mengine ya adhabu.
Sasa basi, @skyeclat asiwe mchoyo wa kuwapatia watoto wake zawadi ya viboko.
Sky sorry for this question ,,, Are you a single mother or married ?? .No nimejifunza kutokana na makosa, ninawapa watoto wangu uhuru wa kujieleza hata wakiwa na kosa, na ninawauliza kabisa kama wanaelewa kosa wanalofanya, hakuna vitasa, viboko wala matusi.
Sasa unamchapa mtoto ili iweje iwapo umeongea nae na ameelewa kosa lake na kukiri kuwa hataruda tena?Shida inakuja mnaposhindwa kutofautisha Fimbo na Mateso .
Ivi kumchapa fimbo NNE ,nisawa na kumchoma moto ????.. Guyz !!!....
Hapo mama alipaswa kumchapa fimbo kisha amuonye ,, nasio "" unajua mwanangu wizi mbaya ,sawa mwanangu usirudie mwanangu " ...hatujengi ...
Labda mnisaidie mfano wamtu yoyote yule duniani mnayemjua ambaye hajawahi chapwa na wazazi wake au walimu ???.
Mzazi unaposema mtoto asichapwe Basi nibora useme namashuleni waschapwe fimbo ..maana hamna kinachobadilika kimalezi nyumban na shulen ...HAKUNA kosa analolifanya nyumban nashule asilifanye ,,je tuwaache ????
Aaahhh jaman embu tusijifurahishe let speak reality .......SOTE YUSINGEKUA HAPA KAMA WAZAZI WETU WANGEISHIA KUTUONYA KWA MANENO ..BINAFSI NMECHAPWA SANA MPAKA HAPA NILIPO NAMSHUKURU MUNGU NAWAZAZI WANGU KWASABABU WALINILEA PASIPO KUPENDELEA .
malez ya kutochapa Mara nyingi wanao single mother ,yaan wanadekeza sana watoto ,lkn familia ya baba namama ,,Baba nilazima achape tuuu Noway out nahuo ndo ukweli .
Nimekuelewa ila maandiko yanakutaka utumie fimbo na si vinginevyo, alafu pia kila kitu ni kwa kiasi kikifanyika zaidi ya hapo ndio kina madhara. Na ukijaribu kufuatilia kesi nyingi watoto walioumizwa au kutolewa hizo alama wazazi/walezi wao hawakutumia fimbo.Nchi nyingine watoto wanakuwa na physical education mara moja kwa wiki ambako wanatakiwa kuvaa nguo za michezo kwa masaa wanayokwenda kwenye shughuli hiyo. Walimu wao wanakuwepo changing room na wakiona mtoto ana alama wanamuuliza, mtoto akisema nilipigwa na wazazi kosa linapelekwa ustawi wa jamii na polisi wanaitwa, kesi inaweza kuamuliwa mzazi aende jela na watoto walelewe na ustawi wa jamii. Sasa hapo atakaekosa malezi ya watoto wake si mzazi?
Mahakaman ,,MTU anafungwa nabado anapewa viboko ...anaingia anapata 12 anatoka anapewa 12 nahapo amekaa gerezan miaka 10.Sasa unamchapa mtoto ili iweje iwapo umeongea nae na ameelewa kosa lake na kukiri kuwa hataruda tena?
Kati yako namumeo nani huchukua nafasi linapokuja suala LA adhabu ???? .....I am not a single mother mkuu.
Mtoto ameiba hela nitamuuliza ni kwanini ameiba hela? Na mimi nitajitathmini kama hashibi, inawezekana ameiba pesa kwasababu alikuwa na hamu ya kunywa soda, nitajitathmini zaidi kama mzazi kwanini mtoto aogope kuniambia kama alitaka kunywa soda, inamaana hapa uhusiano wetu si mzuri. Kuna mengi unajifunza ukiweka mawasiliano kama njia ya kutatua migogoro si kwa watoto tu hata migogoro ya ndoa.Mahakaman ,,MTU anafungwa nabado anapewa viboko ...anaingia anapata 12 anatoka anapewa 12 nahapo amekaa gerezan miaka 10.
Sembuse mtoto nyumban ?????? Sky are you serious ???... Yaan mtoto kaiba ela ....uishie kumwambia "" usirudie ,,wizi nimbaya ???? " hahahah unanifurahisha.
UNAHISI NISAHIHI WANAFUNZI KUCHAPWA MASHULENI ??Kwanini umchape kama kuna uwezekano wa kuongea nae na akatambua kosa lake?
Kwanini umchape kama kuna uwezekano wa kuongea nae na akatambua kosa lake?
Si ndiyo maana nimesema fimbo zimebaki kwenye shule zetu za kata, unafikiri pale International School of Tanganyika wanachapa watoto?UNAHISI NISAHIHI WANAFUNZI KUCHAPWA MASHULENI ??
n.b mtoto anaanza 0-18 yrs. Labda tuanzie hapa.
Wat if anashiba ,,nabado unampa ela yashule ,,lkn ile asubuh TU anapitia elfu kumi mezan ,,utamfanyaje !???Mtoto ameiba hela nitamuuliza ni kwanini ameiba hela? Na mimi nitajitathmini kama hashibi, inawezekana ameiba pesa kwasababu alikuwa na hamu ya kunywa soda, nitajitathmini zaidi kama mzazi kwanini mtoto aogope kuniambia kama alitaka kunywa soda, inamaana hapa uhusiano wetu si mzuri. Kuna mengi unajifunza ukiweka mawasiliano kama njia ya kutatua migogoro si kwa watoto tu hata migogoro ya ndoa.
Ndiyo maana yake, mzazi kwanza anatakiwa aweke muda mwingi na mtoto, mjenge trust, na good communication.Apo ndo unaitajika uelewa wa uyo mzazi, na wa mtoto....kama mtoto ni fast leaner ni rahisi,japo wanakuaga watundu sana, kinachoitajika ni mzazi atafute easy way ya kumfanya mtoto ajifunze iki ni kibaya voluntarily, kwa iyo hakiwa haelewi ndo intense means inatumika
Hahahahah kwa jinsi nilivyo mpole nahisi mama yao ndio atakuwa mkali na mchapajiLabda kwasababu wazazi wao pia hawasikii.
Ndiyo maana nimesema mzazi anatakiwa awe na muda mwingi na mtoto, wajenge trust na communication kati yao iwe nzuri. Kama mna ukaribu huo atakueleza hiyo shilingi 10,000 ni ya nini.Wat if anashiba ,,nabado unampa ela yashule ,,lkn ile asubuh TU anapitia elfu kumi mezan ,,utamfanyaje !???
Sio wewe tu mkuu, karibu watoto wote wa enzi za wahenga waliishi kwa viboko na ndio tunaowasifia kwa maadili na gunduzi mbalimbali, ikiwemo na kua waerevu karibu kila nyanja.Kwa upande wangu sidhani kama ni watoto wote wakichapwa bakora watakuwa waoga fulani ukubwani. Kama ni hivyo, mimi ningekuwa hopeless nambari wahed! Kwa sababu kwa yule MAMA yangu mwalimu, nilikula viboko vya kutosha utotoni. Lakini kujiamini kwangu nakujua mwenyewe. Ni zaidi ya kujiamini.