Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,877
- 105,255
Hahahahaaa! Ukiona mtoto amekuwa nunda ujue huwa aidha unamuadhibu kupita kiasi, huwa unamuonea (unatoa adhabu bila kuupata ukweli) au huwa unamdunda mara nyingi hadi amejenga u-sugu fulani. Tuwe na kiasi.Na zinafanya mtoto anakuwa Nunda anajua si nitapigwa tu.