Disappointment in love issues

Disappointment in love issues

Kiswahili ni shida kila sehemu unaandika "ambapo" sijui ukiambiwa ubadilishe hii story yako kwa lugha ya malkia itakuaje??
Tatizo lako unapenda sana kulelewa ndio maana anakufanyia mambo ya ajabu na wewe ulivyo zuzu unavumilia tu.
 
Miaka 23 unakuwa na stress za mapenzi kiasi hicho?? Ukifika 35 si utakua umezeeka kwa mawazo wewe.
 
23 msamehe bure
Lazima uchezewe na pia Lazima uyapitie haya yote nasis tulitokea huko. Sahivi tumeota vijimbi na kua sugu. Mwisho sasa na wewe ndo utaanza kuwaumiza wengine. Life is like that
 
Wewe okoka tu ...bila ivo utajuta ..uko mbeleni
 
Ambapo huyo mama anakuzingua, ambapo ww hujashtuka, ambapo unaweza kupata mmoja wa hao watoto wa CBE.

Ambapo ukiona haya mambo yanakupeleka kasi, unaweza kuyapisha kwa muda, kama mm ambapo nasubiri 2017 ndo nianze kutongoza.
 
thanx for your advise all of you let me move on without her
 
Lazima uchezewe na pia Lazima uyapitie haya yote nasis tulitokea huko. Sahivi tumeota vijimbi na kua sugu. Mwisho sasa na wewe ndo utaanza kuwaumiza wengine. Life is like that
okay sawa dada angu ahsante kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom