Mwaka Jana nilikosa nikaenda mpaka chuo nikasajiliwa maisha ya umaskini yakanishinda chuoni nikarudii kitaa kupambana nikasema ningoje mwaka huu mwaka huu pia nimeomba nimekosa nimeingia kwenye kukataa rufaa nikifika kipengele cha appeal reason nikiweka cheti na kuzaliwa na kupreview nikisubmit tu mitambo yao inaniambia sijaweza appeal reason nimeshajitahidi mpaka nimechoka hakuna namna acha niendelee kugangaa njaa kitaani si wameamuwa kutunyima sijui wengine sisi ni wakongo sio watanzania hii ni nchi yangu naipenda sana ila ukweli kusema Hanna serikali naichukia hapa duniani kama hii