Agresive
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 891
- 1,237
- Thread starter
- #21
Kwa jinsi nilivyoelewa ni watu wa degree tu, maana diploma nachojuwa wako chini ya NACTE na kama sijasahau maombi ya dplm mpaka tarehe 12 mwezi huu nafikiri ndiyo wamefunga dirisha la maombi.Naomba kuuliza Tangazo hili linawahusu pia wale wanaomba Diploma au linawahusu pia vyuo vinyotoa Diploma?au wao wako chini ya Nacte tu na siyo TCU!