Agresive
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 891
- 1,237
Habr ya jioni wana Jf,
Nimeona tangazo la TCU kuwa watafungua dirisha la udahili vyuo vikuu awamu ya 4 kuanzia tarehe tajwa juu kwenye HEADING.
Miongoni mwa vitu walivyosisitiza ni chuo husika kuonesha kozi zilizojaa na ambazo hazijaja na nafasi zilizobakia kwa kozi ambayo haijaja.
NB, 3rd selection haijatoka may be wataachia kabla ya muda wa maombi kuanza.
Samahani nimeshindwa kuweka tangazo ila unaweza ingia website ya TCU kwa maelezo zaidi
Nawasilisha.