[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mzee wangu aliponea kwenye tundu la sindano kwa huyu jamaa, alikua akibukua pale Kampala - Makelele University mwaka 1977, jamaa angemchinja now nisingekuwepo hapa JF, bcoz even my mama alikua hajaolewa na mshua!
Iddi amini kutokea tena itakuwa ngumu na hata akitokea ila kwa kibishi sana na hata maliza mwaka siku hizi silaha zipo za kumwaga na kufyatua ni rahisi mnoAsanteni kwa kuangalia mlale salama huku tukiomba Mungu asitokee Idd Amini mwingine Africa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji124]
Kama raia anaweza kulazwa chini basi hata mwanajeshi na polisi pia wanaweza kulazwa chini tena kirahisi zaidi uneona wajeda uchwara wa turkey walichofanywa na raia wao that's the power of the public.peoooooooooopleeeeeeessss. poweeeeeeeeerKulazwa chini?[emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Mkuu kumbe hii ilikuwa kweli... Mimi nilikuwa najua actView attachment 375579View attachment 375580hakuvumilia upinzani
Asanteni kwa kuangalia mlale salama huku tukiomba Mungu asitokee Idd Amini mwingine Africa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji124]
Kulazwa chini?[emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144]