PES 2013 Wapenzi wa game.. Ishushe full hapa only 2.67 GB repack | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PES 2013 Wapenzi wa game.. Ishushe full hapa only 2.67 GB repack

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by e2themiza, Oct 18, 2012.

 1. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Niaje mazee kwanza kabla ya yote nimetegeneza video kuonyesha kuwa hii repack is working perfectly maana at many times hizi repack au compressed games zinakuwa haziwork.. hii inawork tu ukifuata maelezo yangu corretly lasizyo hautafanikiwa ok then PES 2013 hii hapa just a few minutes gameplay.. and sorry for the lagging iyo coz nilikuwa na record ndo maana..  Ok first tuone minimum requirements ili ujue kwamba it will work kwako or not. basically kama PES 2012 ilicheza na hii itacheza pia..

  MINIMUM SYSTEM REQUIREMENTS
  Windows XP SP3, Vista SP2, 7
  Intel Pentium IV processor 2.4 GHz or equivalent processor
  1GB of RAM
  Video Card NVIDIA GeForce 6600 or ATI Radeon x1300. Pixel / Vertex Shader 3.0 and 128MB of VRAM DirectX 9.0c compatible graphics card.

  RECOMMENDED SYSTEM REQUIREMENTS
  Windows XP SP3, Vista SP2, 7
  Intel Core2 Duo 2.0 GHz or equivalent processor
  2GB of RAM
  NVidia GeForce 7900, ATI Radeon HD2600 or higher. Pixel / Vertex Shader 3.0 and 512MB of VRAM DirectX 9.0c compatible graphics card.

  Ok now lets start downloading kwanza download the repack iso file kutoka the link below:

  getTurboBit - for free, total no limits! seriously! (not working at the moment)

  AU

  http://getripz.pl/bae81c32281b36c449b1708cfdd026ac/fxwo9pmyqgr7.html (Working)  This is what you will do.. utaclick start downloading.. itafunguka a page then angalia juu kulia utaona kuna countdown ya 5 seconds zisubiri then click SKIP.. na download ita anza..

  Ok ukishaidownload sasa Mount iyo ISO file then run setup.. hapo ni vyema usiwe unafanya any other works ili i install faster coz ita extract na kuinstall IT may take a while 40 - 60 minutes...

  Sasa hapo kuna sehemu muhimu sana and this depends wakati ikiwa ina install ikifika around 95% itaweza kuleta error now this unaweza ukapata na usiweze kupata but your most likely kuipata iyo error.. mimi nilipata.. sasa ikitokea usiclose iyo error au kucancel iache ivyo ivyo...

  Locate sehemu ilipokuwa inastall game na copy folder zima containing the game na ihamishe sehemu nyingine ata to another partition NO prob ukishaicopy yote sasa rudi kwny error ndo ucancel then itasitisha instalattion na kudelete all files installed(Ndo maana tukacopy)..

  Kwa sasa game litacheza no problem lina miss file kama 8 hivi but utaona game lina run.. ok now

  Download hayo missing files nime upload hapa.

  getTurboBit - for free, total no limits! seriously! (199mb) (NOT WORKING NOW)

  AU

  http://getripz.pl/83476e887a371b1b77a5db167d02c160/1et2ibmetbm4.html (WORKING)


  ukishazidownload extract mafile then ya copy hayo mafile sio folder the files na kaziweke kwenye..

  Open folder ya "Pro Evolution Soccer 2013", then open folder la "img"

  na paste humo ndani..

  HII NI KWA WALE WATAKAO pata ERROR na installation haimalizi.. but kama hautaipata na ita install mpaka mwisho skip hapo!!!

  Sasa una complete files la hii game na ukilifungua now utaona kuna vitu vimeongezeka....

  Sasa hatu ishii hapa.. hii game utamu wake ni patches..

  Faida ya patches.. Your most likely game kucrash at many times kama ukitaka kucheza Exhibition Match, n.k

  Pia Original game la PES huwa hawatumii majini kamili ya baadhi za timu za EPL, na chezi na n.k which sucks.. but ukiweka patch itafix all this problems na utapata the latest footware, players names, all leagues, teams, kit, transfer and many more..

  Sasa download the latest patch kutoka hapa:
  http://176.31.172.222/Patch/PESEdit.com_2013_Patch_2.0.part1.rar
  http://176.31.172.222/Patch/PESEdit.com_2013_Patch_2.0.part2.rar
  http://176.31.172.222/Patch/PESEdit.com_2013_Patch_2.0.part3.rar
  http://176.31.172.222/Patch/PESEdit.com_2013_Patch_2.0.part4.rar


  Download files zote then extract it to one file.. then install then installer.exe file..(sasa hapa pia usiwe na haraka wale wa NEXT, NEXT.. kumbuka ulicopy game na kulihamisha.. so hakikisha unaidirect hii patch install kwenye game folder ulipopahamisha)

  Then download hii patch nyingine tena.

  getTurboBit - for free, total no limits! seriously! (245mb) (NOT WORKING NOW)

  AU

  http://getripz.pl/d89ddabd0c65f8b39d29b83aa19f077f/eiq19fa15v4c.html (WORKING)


  Extract it na install hio pia..(sasa hapa pia usiwe na haraka wale wa NEXT, NEXT.. kumbuka ulicopy game na kulihamisha.. so hakikisha unaidirect hii patch install kwenye game folder ulipopahamisha)

  Finally download haka kafile kadogo KB kadhaa..

  fserv.dll - Speedy Share - upload your files here

  then ilo file la mwisho liweke ndani ya Pes folder then ndani ya folder kitserver 13

  And your done! hapo umefanikiwa kuinstall the game na kuweka the latest patch with all latest and coolest features..

  Jumla ni kama 3.6 GB in total.. ambapo the original disc file ni 5.78 GB jumla na patches inafika 6 GB.. so ukifuata hii njia utakuwa umesave 3 GB.. gud luck na ukipata error nyingine yoyote ambayo sijamention hapo juu DONT DELETE any file ambayo ushadownload just comment below.
  UPDATE:
  Original Download links not premium generated.

  http://turbobit.net/fxwo9pmyqgr7.html (2.67 GB)
  http://turbobit.net/1et2ibmetbm4.html (199 mb)
  http://turbobit.net/eiq19fa15v4c.html (245 mb)

  Generate premium link kutoka hapa:

  http://www.getripz.pl/
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yes man mimi nina laptop aina ya dell vostrol yenye specification hizi:
  Window 7 proffesional
  Processor: intel coreM 380 @ 2.53 GHz
  Ram: 2 GB (1.8 usable)
  System type: 32bt

  Tatizo linakuja kila nikiplay game zinagoma na inatoa messege hii
  ''The program can't start because d3dx9_26.dll is missing''

  Natakiwa kufanya nini icheze, game zilizogoma ni Vice ity, need for speed most wanted

  Hiyo game yako mkuu mtajaribu kudowload kesho

   
 3. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yah hii ni common na huwa zinatokeaga sana cha kufanya ikitokea an error kama iyo just google it, na utapata ilo file ambalo utalidownload na kuweka kwny folder la game na litatua tatizo na game litaplay.. so for your case file hili hapa download alafu weka kwny folder la game liloleta ilo error
   

  Attached Files:

 4. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Gwiji e2themiza hapo kwenye red kila nikijaribu kupakua napata ujumbe "Today's limit was exceeded" nimejaribu kutumia hide my ip bado pagumu.
  Pili nlikuwa nauliza je hili game linachezwa na hizi keyboard za kawaida au kuna addition Hardware?
  kuna Game la God of war nimeinstall liko fresh but nashindwa kustart
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. morphine

  morphine JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 2,566
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  sijui nakosea, nilishajaribu ku-burn na patch masoftware kibaaaao ila mwoshoe zinagoma :blah:
   
 6. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yah ata mimi naona now, ngoja usikilizie na kujaribu baadae au nitacheki another premium link generator ya kushusha hayo mafiles, yah inacheza na keyboard ya kawaida.. hizi ndo settings zangu..

  controls.png

  MEANING:

  W - Sprint
  E- Through pass
  D- Shoot/Kukaba
  S- Pass/Kukaba
  A- Cross/Kulaza

  Kuhusu God of War sidhani kama kuna ya PC!
   
 7. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Jibu unalo utakuwa umekosea some where.
   
 8. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ahsante sana mkuu.ila pakupata hizo GB ndo tatizo.Nikitumia ya voda nitakesha...duh kazi kweli kweli
   
 9. morphine

  morphine JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 2,566
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  mi natumia vodacom modem kwa bundle ya 5GB for Tsh.20,000/= iko faster mbayaa
   
 10. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,156
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  bado.jpg
  nimekusoma kamanda wangu
   
 12. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
 13. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  mwenye game la fifa 13 jamani please am addicted fan of it
   
 14. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Nenda hapo na ishushe ni 6.6GB hivi:

  Index of /film-dizi/FIFA.13.INTERNAL-RELOADED

  I can confirm kuwa ina work kutoka hapo coz nilishusha from hapo na inacheza fresh, download all the files, extract, mount alafu install the game
   
 15. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  duh gb 6 wakati mimi bundle yangu ni gb 4 i cant labdaa kama kuna mtu mwenye nayo
   
 16. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Poa ngoja nikuchekia repack yake ikipatikana kama 3 Gb si utaweza?
   
 17. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,790
  Likes Received: 7,115
  Trophy Points: 280
  better next time uwe na software kama power iso instead ya kuburn zimount then zitatokea kama cd kwenye my computer then utainstall easy

  Ukipatch ukiona game halistart problem kubwa karibia 90% inakua ni launcher hapo itabidi udownload separate mfano unasearch google pes 2013 launcher then ukidownload unaenda iweka kwenye folder la game

  C:/program files/pes 2013 something like that

  Then unareplace launcher ya zamani kwa launcher mpya

  Njia ni hii hii moja kwa software karibia zote
   
 19. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,156
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  THANKS !!
  Nime install limeingia lote bila error sema dixdiag ndo ilikuwa inasumbua but nimegoogle na kusolve inapigamzigo kwenye mashine yangu ya inter (R )g41 express chipset
   
 20. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Your welcome.. enjoy the game.
   
Loading...