Dira ya wana Jamiiforums mwaka 2014

Dira ya wana Jamiiforums mwaka 2014

njia rahisi ya mtazamo wako tangu mwaka umeanza na mwenendo wa watu humu jf...unaona jukwaa gani kati ya hayo tajwa hapo juu matano ndo yamekua yakipendelewa sana / kuwa very active / kuwavutia wadau wengi humu jf🙂

Hujajibu swali

Nimekuuliza kuwa tutatumia njia gani kujua jukwaa lililokuwa na likipendelewa kuliko lingine na kutoa maoni?

Au ni kusema tu?
 
Hujajibu swali

Nimekuuliza kuwa tutatumia njia gani kujua jukwaa lililokuwa na likipendelewa kuliko lingine na kutoa maoni?

Au ni kusema tu?

yeap nikwakukoment hapa hapa katika thread hii ,,utai point out jukwaa linaslopendwa mkuu, ukitaka kueleza sababu nayo siyo mbaya
natumai nimekujibu mdau🙂
 
yeap nikwakukoment hapa hapa katika thread hii ,,utai point out jukwaa linaslopendwa mkuu, ukitaka kueleza sababu nayo siyo mbaya
natumai nimekujibu mdau🙂

Inaonekana hata hujui nimekuuliza nini ndio maana hata unachonijibu sicho nilichokuuliza

Endelea na uzi wako!!
 
Inaonekana hata hujui nimekuuliza nini ndio maana hata unachonijibu sicho nilichokuuliza

Endelea na uzi wako!!
usipanik mkuu, ni lugha mgongano...afu namie leo siko kwenye mood ya kununa🙂
 
Nami narudia swali la Eiyer, tutatumia kigezo gani kujua jukwaa pendwa ni lipi?
 
Last edited by a moderator:
  • nacomment sana MMU, lakini kabla sijaingia MMU naanzia jukwaa la siasa kujua yanayojiri kwenye hii nchi na kuna vingi vya kujifunza kule. Kuna mambo ambayo hujapata kuyasikia yakizungumzwa sehemu yoyote, utayasikia kule
  • Nalipenda sana jukwaa la elimu na uchumi. Lina vitu vizuri sana vya watu kujikwamua kiuchumi hasa kwa kuzingatia mazingira tunayoishi. watu wamekuwa waki-share experiences zao tofauti za kilimo, ufugaji, biashara kwny lile jukwaa. watanzania tunahitaji forum ya vitu kama hivyo, hasa tunaposaidiana kuziona na ku-take advantage ya fursa zinatozunguka
  • sijawahi ingia jukwaa la wakubwa, ngoja nikali-visit leo
  • napenda pia Kenyan news,
  • eeh nisije sahau na mapisha ya Farkhina na Mtambuzi
 
Back
Top Bottom