Nimekuwa nikipokea hizi sms hapo chini. Ni jambo jema wananchi kupewa nafasi ya kutoa maoni kama kweli watayafanyia kazi. Binafsi maoni yangu yamejiegemeza katika sekta ya umeme, kilimo cha umwagiliaji na viwanda.
Si vizuri kuwa na uchumi wa fremu za kupangisha kwa ajili ya bidhaa kutoka China, hadi nguo wakati tunaweza kulima pamba hapa nchini. Kazi kwenu sasa great thinkers kutoa maoni ili ikifika 2050 Tanzania iwe kama Ulaya. "We Live for the Future, and not for the Current"
"Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni maono ya Nchi kwa miaka 25 ijayo. Kila Mtanzania ashiriki kutoa maoni. Zoezi la kukusanya maoni limeshaanza."
"Shiriki kutoa maoni ya Dira2050 kwa maendeleo ya Taifa.Piga *152*00#, 8-Elimu,4-Dira ya 2050 au tembelea tovuti"