duuh....Kasome Nursing mkuu pale Magogoni. Kuna mwalimu mzuri sana pale
Kasome pharmacysamahani wakuu, naomba kuuliza kati ya hizi koz mbili mnanishauri nisome ipi? Maana nimechaguliwa medical lab-udom lakn kuna wadau wananiambia nikasome Pharmacy.
Tafadhar naombeni mnifumbue macho juu ya hizi mbili ili niweze kupata maamuz sahihi.
karibuni
Clinical medicine vipiBinafsi ninakushauri nenda kasome Pharmacy. Kwa sababu kuu mbili tu...
1/Uwezekano wa Kuajiriwa ni mkubwa.
2/Uwezekano wa kujiajiri ni 100%.
Wote wana nafasi kubwa ya kuajiriwa na kujiajiri. Japo diploma ya pharmacy haimruhusu kufungua pharmacy. Atalazimika kutafuta pharmacist aweke cheti chake dukani kwake na ajiandae kumlipa si chini ya milioni moja kwa mwezi. Japo duka LA dawa muhimu anaweza kufungua japo kipato chake ni kidogo! Diploma ya maabara anaruhusiwa kufungua maabara yake.Binafsi ninakushauri nenda kasome Pharmacy. Kwa sababu kuu mbili tu...
1/Uwezekano wa Kuajiriwa ni mkubwa.
2/Uwezekano wa kujiajiri ni 100%.