Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 994
Nacte wamesema bado wanajadiliana tcu..
Si nilisikia majina yao yatakuwa tranfered TCU kwa wale ambao wamekidhi vigezo mkuu!Hayo majadiliano ni kuhusu wale ambao walishakua wameomba vyuo tayari kupitia NACTE kabla ya utaratibu mpya wa wote kuomba kupitia TCU haujatangazwa.
Si nilisikia majina yao yatakuwa tranfered Tcu kwa wale ambao wamekidhi vigezo mkuu!
Loading. .....
Vipi hiyo taarifa ni yakweli? Maana na mimi ni mmoja wa wahanga walioapply kwa tangazo la NACTE kabla TCU hawajatoa yaoHayo majadiliano ni kuhusu wale ambao walishakua wameomba vyuo tayari kupitia NACTE kabla ya utaratibu mpya wa wote kuomba kupitia TCU haujatangazwa.
Vipi hiyo taarifa ni yakweli? Maana na mimi ni mmoja wa wahanga walioapply kwa tangazo la nacte kabla tcu hawajatoa yao
Mi nna 3.1 hapa nshakata tamaa nasubiria majaliwa ya Mungu tuNi kweli, wacha tusubiri tuone. Vipi lakini kibubu kinajaa (3.5 ipo) ? au ndio uliliwahi dirisha dogo la usajili la 2.7 ?
Wana discuss kushusha viwango vya gpa so sidhani kama kesho itakuwa hivyo