Diploma Holders waliopata mkopo

Diploma Holders waliopata mkopo

Science wanayoangalia ni afya, kilimo, education na mazingira kidooogo. Ila kompyuta sayansi sio kipaombele.
na pia kuhusu mkopo wanaangalia sana direct, yaani form six. Watu wa mature au equivalent huwa kidogo sio preority. Kwahiyo kijana tulia kwanza unaweza pata kwa slot zingine. Ila kwa hii ya kwanza na ya pili kipaombele ni sayansi na direct....
 
Tusubir tuone hiyo next lot
 
hahahaha leo nmecheka sana nmemuona jamaa mmoja kwenye taarifa ya habar analalamika kuhusu mikopo huku ametupia suti kali analilia mkopa halaf mmi namfaham jamaa alipiga sana pesa za umoja wa wanafunzi kwenye serikali ya wanafunzi kipindi yupo diploma,,,,, dahh kweli hiz pesa za bodi znachizisha watu

dah mdau mbona unachochangia na ktu klichoulzwa n tofaut axeee!!
 
mbona Bodi ya mikopo waliainisha wazi kuwa kama uko kwenye ajira usiombe mkopo, na wengi muliopitia Diploma tayari mko kwenye ajira ama rasmi au isiyo rasmi. sasa mnataka mkopo wa nini badala ya kutumia mishahara yenu kujilipia ili hii pesa ndogo iliyopo itumike kuwasaidia watoto maskini na yatima?

k ma ma ko unadhani waliomaliza diploma wote wamepata kazi?? usilete u se -nge
 
Nashukuru kwa kupata,vipi wengine?
 
Back
Top Bottom