Diploma Holders waliopata mkopo

Diploma Holders waliopata mkopo

Nimemaliza civil dit currently niko civil must
hebu vumilieni kuna lots ya 3. bodi imesema watu wenye vigezo ni 50000+ na waliopangiwa hadi sasa kwa lots 1&2 ni wanafunzi 40000+ kwa hiyo bado majina 10000 yatatolewa third lots kama una vigezo usihofu utapata tu
 
Mke wangu anadiploma ya ualimu amekosa mkopo.

Mkopo ni kwa ajili ya wasioweza kujisomesha au kusomeshwa na walezi wao. Sasa kaka mbona unajidhalilisha ndugu yaani unalalamika mkeo kakosa mkopo kwani we huwezi kumsomesha?
 
Kwani mkopo nini? Si atalipa baadae au ulifikiri anapewa bure.
 
Jaman mbona mimi nimetoka diploma na mkopo nimepata sema diploma waliopata ni wachache
 
wadau nmesoma maoni yenu wote humu ndani nnacho taka kuwaambia kua bodi haipendelei ila inatoa mkopo ktokana na vgezo ulivyo navyo tuacheni kulalamika tusbr third round kama kwl ulikamilsha vzr application zako bas utapata tu ila kama huku jaza vzr application yaweza kula kwako so tsubir kwan hata mm bado
 
mbona Bodi ya mikopo waliainisha wazi kuwa kama uko kwenye ajira usiombe mkopo, na wengi muliopitia Diploma tayari mko kwenye ajira ama rasmi au isiyo rasmi. sasa mnataka mkopo wa nini badala ya kutumia mishahara yenu kujilipia ili hii pesa ndogo iliyopo itumike kuwasaidia watoto maskini na yatima?
 
hebu vumilieni kuna lots ya 3. bodi imesema watu wenye vigezo ni 50000+ na waliopangiwa hadi sasa kwa lots 1&2 ni wanafunzi 40000+ kwa hiyo bado majina 10000 yatatolewa third lots kama una vigezo usihofu utapata tu

Inamaana watu waliona stashahada na wakaomba kwenda shahada nchini kwa uwezo wako wa kufikilia ni 9,253 na ndo ambao wanasubilia third lot ili kutimiza ile 50116?
 
Kwani mkopo nini? Si atalipa baadae au ulifikiri anapewa bure.

Hata kama lakini mkopo ni kwa ajili ya wasioweza kujisomesha au kusomeshwa,ulijifanya kidume kumuoa sasa unataka heslb wakusaidie majukumu. Shame on you
 
mbona Bodi ya mikopo waliainisha wazi kuwa kama uko kwenye ajira usiombe mkopo, na wengi muliopitia Diploma tayari mko kwenye ajira ama rasmi au isiyo rasmi. sasa mnataka mkopo wa nini badala ya kutumia mishahara yenu kujilipia ili hii pesa ndogo iliyopo itumike kuwasaidia watoto maskini na yatima?

sikutaka nitumie lugha hii ila imenilazimu

Naomba nikuite mpumbavu, dip n advance zote kuna watu four tulifauru vizur tu kuliko hata hao form six lkn tukaona tupite OD, kusoma OD haina maana umeajiliwa sababu dip walioomba freshers wapo wengi tu
 
wadau nmesoma maoni yenu wote humu ndani nnacho taka kuwaambia kua bodi haipendelei ila inatoa mkopo ktokana na vgezo ulivyo navyo tuacheni kulalamika tusbr third round kama kwl ulikamilsha vzr application zako bas utapata tu ila kama huku jaza vzr application yaweza kula kwako so tsubir kwan hata mm bado
Wapo was diploma walopata mkopo hasa course ya BAED so ishu ilikua ni kujaza fomu ilivyotakiwa na kutimiza vigezo vilivyohtajika. Anyway tusubr third round
 
Wanapata lakini kwa kuchezesha (Rushwa), wapo ninaosoma nao chuo course ya BBA ni Diploma-Holders na mkopo wanapata. Mimi sikupata lakini nilipowadadisi walinieleza mbinu waliyotumia. Nimeamua kukomaa mwenyewe japo inaudhi

pole sana hii ndio bongo
 
sikutaka nitumie lugha hii ila imenilazimu

Naomba nikuite mpumbavu, dip n advance zote kuna watu four tulifauru vizur tu kuliko hata hao form six lkn tukaona tupite OD, kusoma OD haina maana umeajiliwa sababu dip walioomba freshers wapo wengi tu

we hata hujaelewa mada
 
wadau inakuaje kuhusu hawa special diploma . . maana baadh yao wameomba mkopo na hakuna ata m1 alopata kwa anaejua utaratibu wa kutoa mkopo kwa watu hawa naomba anifahamishe japo kwa kifupi maana naona watu wameduwaa hawajui wafanye nn na tarhe ya kwenda chuo ndo tarh 14. . . . NATANGULIZA SHUKRAN
 
hahahaha leo nmecheka sana nmemuona jamaa mmoja kwenye taarifa ya habar analalamika kuhusu mikopo huku ametupia suti kali analilia mkopa halaf mmi namfaham jamaa alipiga sana pesa za umoja wa wanafunzi kwenye serikali ya wanafunzi kipindi yupo diploma,,,,, dahh kweli hiz pesa za bodi znachizisha watu
 
Back
Top Bottom