hapa!@ kwa mfano chuoo changu mimi wanasoma computer science hakuna hata mtu moja aliyepata mkopo,, czani kama wanaangalia science aisee,,
Naona bila kuwa na mtu uko upati.. watu wa business wanapata asilimia 100.. wakati science hakuna hata moja wakuzugia.
Bodi wamesema walio qualify kupata mkopo ni watu 50000 na hadi sasa wametoa kwa watu 40000 kwa hiyo bado majina 10000 yatatolewa tena muwe na subiraSiku mahanisha hivyo unavyo fikiri kaka!,, samahani kama nimekosea kwenye maelezo yangu,,!@ Na mdogo wangu amekosa mkopo hapo.. nilipambana kumsomesha diploma, ni yatima anasoma science .. nilizani itakuwa nimepunguza mzigo lakini hapana,.! kwangu sio kitu kidogo.
Samahani sana mr Upepo pesa.
je kuna watu waliotoka Diploma wamepata mkopo? kama wapo waliopata mkopo wajitokeze manake sisi tuliomaliza Diploma tumetengwa sana kwenye mkopo.
Mimi nimechaguliwa UDOM bachelor of education in commerce bt mkopo sijapata
Mimi Agricultural Engineering na hamna kitu