John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
hivi kwanini asirudishwe nyumbani tanzania
aingie vumbi wapi atapelekwa quatar akiwa mzima na mifupa yakehata wakimrudisha ataishia kujaa vumbi na kuozea mbali kusikojulikana ...kwani tuna vivutio vingapi tena vya maana kuliko hata hiyo mifupa na vimetelekezwa mbali huko...bora akae huko huko ujerumanitena ndo rahisi hata mtu akienda kumuangalia ataambiwa huyu ametoka Tanzania..then mtu aje mwenyewe kuiona tanzania...
Je uko Ujerumani wanajua kuwa ametokea Tanzania?
Sidhani kama umemeelewa Content ya swali, Ndani ya Display kuna details zinazosomeka kuwa Amevumbuliwa Tanzania? Swali ni swali vinginevyo hakuna haja ya kuuliza?Hili swali hata mtoto. Mdogo hawezi kuliuliza.. Sasa kama hawajui sisi tumejuaje?
Sidhani kama umemeelewa Content ya swali, Ndani ya Display kuna details zinazosomeka kuwa Amevumbuliwa Tanzania? Swali ni swali vinginevyo hakuna haja ya kuuliza?