Dinner...!!!(self made)

Dinner...!!!(self made)

Hii sahani loh! Si inakuondolea hata hamu ya kula?

Uliinunua au uliipewa jeshini?

Tunapoenda kununua vyombo tafadhali kazi ya kuchagua tuwaachie wake zetu. Mimi shuka tu ya rangi hiyo silalii, maana nitaota nipo kwenye kambi ya wakimbizi Kasulu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom