donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,040
- 21,513
Dada yangu yule, majukum tu yamembanaDah umenikumbusha dada wa mapishi humu jf anaitwa @farkina sijui kama aikosei ameadimika sana alikuwa Mama wa maakuli
Ni kweli mkuu,Unaonekana unapenda misosi sana
japo umeongea ukweli mie naomba nimtie moyo kwa kusema nimeona pili pili tu..Mi naona umechafua tu vyombo. Sikioni kitu cha kuwekwa kwenye sahani nane
Dhambi kubwa sana ulivomfanya huyu samaki.
nimependa nyama tu hapo maharage yapite hivi
hahahaMi naona umechafua tu vyombo. Sikioni kitu cha kuwekwa kwenye sahani nane
Hii sahani loh! Si inakuondolea hata hamu ya kula?
Sembe hiyo jamani...ndio maana sasa kina 'Mdogo Mjanja' wanachukua kandarasi zetu