Dini zinavyoharibu watu akili

Ha ha haaa. Sasa mtu kama huyo ukimuambia ua watu wanaoongea kiingereza atawaacha kweli? Haya madude yaliyoletwa na majahazi sometimes ni ubatili mtupu kama alivyoandika Mhubiri.
Sio kwamba ni ubatili ni upumbavu kabisa,unapigana kwa utamaduni wa wengine huku ukiuterekeza wa kwako
 
sasa kwa nini Mungu kawaumba watu bil+ wanaongea lugha tofauti? si angeumba watu waongee kiarabu tu... mimi siku ya mwisho ntamuomba anihukumu kiswahili. Afu bado unaweza kujifunza kiarabu na bado pepo usiione (kama kweli ipo)[emoji174]
Pepo ya nani mnadanganyana tu
 
Ni Upumbavu uliokithiri aisee!!
 
Sababu ipo wazi alitupiwa ugonjwa wa ukichaa akawa chizi hilo lipo wazi
Alirogwa, hili ndiyo jibu sahihi. Sasa si ndiyo uonyeshe wapi alitupiwa ugonjwa wa kichaa.
 
Kijana huwa unachekesha sana, unavyolazimisha mambo yawe unavyotaka na hayako hivyo bali haiwezekani iwe unavyotaka.
 
Still ulikuwa uijui dini
 
Si kweli.Kushika dini na kumjua MUNGU ni vitu viwili tofauti
 
Alirogwa, hili ndiyo jibu sahihi. Sasa si ndiyo uonyeshe wapi alitupiwa ugonjwa wa kichaa.
Alilogwa akawaje?, mbona kama unakwepa madhara ya ulozi aliyopata ,
Nyie waislamu mnatuambia alilogwa akawa schizophrenia, Yani anadhani kafanya jambo kumbe hajafanya
 
Kijana huwa unachekesha sana, unavyolazimisha mambo yawe unavyotaka na hayako hivyo bali haiwezekani iwe unavyotaka.
Sijalazimisha , ugonjwa wa akili wa kudhani umefanya jambo na hujalifanya unaitwa schizophrenia

Sasa msome Muhammad alikuwa na Hali gani

Mtume (ﷺ) aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063

Schizophrenia - kudhani umefanya jambo na kweli hukufanya
 
Kijana huwa unachekesha sana, unavyolazimisha mambo yawe unavyotaka na hayako hivyo bali haiwezekani iwe unavyotaka.
Mgetuambia alikuwa ana pizi hewani au vipi maana alikuwa anawaza ndoto nyemvu

Mtume (ﷺ) aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063
 
Alilogwa akawaje?, mbona kama unakwepa madhara ya ulozi aliyopata ,
Nyie waislamu mnatuambia alilogwa akawa schizophrenia, Yani anadhani kafanya jambo kumbe hajafanya
Sasa si hadithi imeonyesha wazi. Wewe tuinyeze wapi hadithi imesema alikuwa na matatizo ya akili ?

Hapa lazima uonyooshe maelezo.
 
Malizia hadithi. Sasa huo siyo ugonjwa wa akili, ugonjwa wa akili ni huu ambao unao wewe.
 
Hili lingine tena umelileta mpaka akili ikuae sawa, ruka ruka tu.
 
Mohamedy nakuita mara3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…