Dini tofauti ila nampenda

Pole sana, jikaze kisabuni.

Kwa mtu muelewa ukimcha awe huru atafanya mengine mazuri zaidi kwa uhuru huo
Wala sio ya kunipa pole
Maana meridhia mwenyewe na moyo wangu, wajua ukipenda boga upende na ua lake na ukipenda waridi sharti uvumilie miiba, ni yangu yote meyabeba nafanya atakavyo sipendi kumkera
 
Wala sio ya kunipa pole
Maana meridhia mwenyewe na moyo wangu, wajua ukipenda boga upende na ua lake na ukipenda waridi sharti uvumilie miiba, ni yangu yote meyabeba nafanya atakavyo sipendi kumkera
Mwanamke atakayemtii mumewe, ameahidiwa nini na Muumba wake eti.....
 
[emoji121]
USIJITAFUTIE MATATIZO KWA BEI NAFUU,

ACHILIA HUYO BINTI,
ILI WENYE VIGEZO VISIVYOKUWA NA ZENGWE TUBEBE GOMA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…