Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Kama dini itatoweka duniani basi ni mwisho wake kutawala na zama za giza la kiroho kushika hatamu. Siku za mwisho watu watajitenga na kweli kwa kufuata mafundisho ya uongo
 
Waliweka bongo muvi character mmoja alikua hana habari na Mungu halafu mwishoni akapigwa tukio
Mjadala ukaanzia hapo
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, kupigwa tukio kusingewezekana kwa yeyote yule.

Hilo tendo la kupigwa tukio lenyewe ni ushahidi Mungu hayupo.
 
Bado hujajibu "what is a miracle?".

Kitu kinachoifanya hiyo miracle iwe miracle ni kipi?

Hujajibu swali hili.

Ukisema "everything you see around is a miracle" bado hujajibu what makes a miracle a miracle.

Yani mwalimu anakuuliza "What is an atom?"

Unamjibu "Everything you see around is an atom".

Umefeli mtihani.
Hahahaha
 
Wana maombi , mtu akiwa mgonjwa wanamsalia na kumlaumu shetani kumfanya aumwe na kumkemea , mtu huyo huyo akija kufa kwa huo ugonjwa wanasema ni mpango wa Mungu,kuna mda huyo shetani wa mchongo anawaangalia hivi
Mimi ndio maana kitambo Sana nilishapiga chini huu upuuzi wa kuitwa Dini sijui na maujinga jinga mengine😁 kufuatilia dini inatakiwa ujitoe ufahamu !
 
Kama dini itatoweka duniani basi ni mwisho wake kutawala na zama za giza la kiroho kushika hatamu. Siku za mwisho watu watajitenga na kweli kwa kufuata mafundisho ya uongo

Religion is an insult to human dignity. With or without it, you’d have good people doing good things and evil people doing bad things, but for good people to do bad things, it takes religion.
 
Nadhani ingependeza zaidi ungetuambia wewe binafsi ni kitu gani umevumbua baada ya kuachana na hizo dini.

Ili tuamini kwamba kuna uhusiano hasi Kati ya dini na uvumbuzi.
vumbuzi nyingi tu zinapingana na vitabu vya dini ,smartphone tu zilipokuja Tz kuna mpka walokole walikesha kukemea freemason.
 
Kwanini kifo kiwe ending game? Do you believe that there is no chance of life after death?
Anacho kifaa cha kisayansi ambacho kilishamthibitishia hio. Inaonyesha huyu ni mwanaSayansi ambaye anao uwezo wa kuitumia Sayansi yake kutatua matatizo kwenye Sayansi zingine zote zilizobbaki
 
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.

Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"

Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!

Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.

Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!

Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.

Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?

Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?

Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?

Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.

Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!

Atheists make sense than who are not
Nitamtumainia Mungu wangu Huyu aliyeziumba mbingu na nchini ambaye ni Apha na Omega yeye ndo aliyeniumba kanipa uhai afya njema utajiri amani hata sasa amenisaidia hakuna kama yeye acha nimsifu hakika hakuna kama Yeye Mungu Baba aliumba mbingu na nchi alimtuma mwanae wa pekee Yesu Kristo kila goti litapigwa jina lipitalo majina yooote Yesu nakupenda sana.
 
vumbuzi nyingi tu zinapingana na vitabu vya dini ,smartphone tu zilipokuja Tz kuna mpka walokole walikesha kukemea freemason.
Sio hivyo, ishu ni kwamba mtoa hoja amejaribu kuonyesha kwamba watu wa dini hawawezi kuwa wavumbuzi aidha kutokana na akili zao ndogo kama anavvyowachukulia yeye au sababu nyingine...

Ndiyo maana nikamuomba yeye kama atheist "Atuonyeshe uvumbuzi wowote alioufanya wenye tija Kwa Dunia nzima au atleast jamii ya Tanzania tu toka aachane na hizo dini"

Lengo tuone kama ni kweli kuna uhusiano hasi Kati ya dini na uvumbuzi.?

NB:- Binafsi naona mtu kuwa atheists au theist haimfanyi awe mvumbuzi,.kuwa mvumbuzi inategemea factors kadha wa kadha na kwenye hizo factors huenda dini ikawa ya mwisho mwisho huko so tusitumie dini kama kisingizio cha kushindwa kuwa wavumbuzi.
 
Unajua kwanini Korea ya kaskazini wamekataa dini yoyote kuwaathiri kwenye taifa lao na kufuata njia zao za asili?
 
Unajua kwanini Korea ya kaskazini wamekataa dini yoyote kuwaadhiri kwenye mataufa yao na kufuata njia zao za asili?
Sifahamu,.. kwanini wamefanya hivyo mkuu?

Wakati nasubiria majibu yako,..Dini ni njia au mfumo wa maisha ambao mtu au jamii fulani inaamua kuufuata, hakuna mtu asiye na dini(mfumo)....hivyo basi Hata Korea wana dini(mifumo/mfumo wa maisha yao) labda tuseme kwamba wamezikataa dini fulani zisiingie nchini mwao ili wabaki na dini zao.
 
Dini sio mfumo wa maisha , Dini ni mfumo wa imani na ibada unaomuelekeza mtu kwa nguvu kuu au uwezo wa juu, mara nyingi kuhusiana na mambo ya kiroho au maadili.
 
Dini sio mfumo wa maisha , Dini ni mfumo wa imani na ibada unaomuelekeza mtu kwa nguvu kuu au uwezo wa juu, mara nyingi kuhusiana na mambo ya kiroho au maadili.
Yap upo sahihi, na umerudi palepale
kwamba dini inatoa seti ya maadili na kanuni zinazoongoza tabia ya watu.
Maadili na kanuni hizo zinaweza kuongoza watu katika maamuzi yao ya kila siku kuanzia wanapoamka mpaka wanapolala, na kuunda mfumo wa kimaadili ambao unaongoza maisha yao.

kila jamii fulani au mtu binafsi huwa ana dini yake(mfumo/maadili/kanuni za maisha yake)

DINI is all about canons,... Hakuna jamii wala mtu anaeishi bila kanuni zake.

Na hapa ndiyo unakuta kuna wale wanaosema:-

1. "Naishi Kwa kanuni alizoniwekea Mungu wangu(Mungu anaemuamini"

2. "Naishi Kwa kanuni zangu mwenyewe,..ninachotaka nafanya Kwa kuzingatia kanuni zangu"

3. "Nitafuata tu kanuni nilizokuta kwenye jamii, haijalishi ni nzuri au mbaya ilimradi wazee wangu wameishi Kwa kutumia kanuni hizo"

Hizo hapo juu zote ni dini(mifumo) Kwa kuwa zimebeba kanuni na maadili ambayo wahusika wameamua kuishi nayo.
 
Je unafahamu kuwa dini zilimkuta binadamu ameshaishi mamia ya miaka ? Je kabla ya apo hakua na maisha?
 
Back
Top Bottom