Dini na ukabila zisihusishwe na Taasisi ya Rais

Dini na ukabila zisihusishwe na Taasisi ya Rais

Ha ha ha ha kiongozi, you are too theoretical, em acha kuota, itoshe kusema with reasons bila upanga, vitisho, mikwara mbuzi kama yote, hakuna mwanadamu yeyote anaweza kuwa muislam, sembuse hapa jamii forum na kwa reasoning yako hakuna padre wa kupoteza muda na wewe, sababu you are not consistence with your poor premises.
Kama umeamua kuandika kiingereza fanya hivyo au kama umeamua kiswahili fanya hivyo, wacha kutuchanganyia lugha ovyo ovyo huo ni uchafu
 
Kama umeamua kuandika kiingereza fanya hivyo au kama umeamua kiswahili fanya hivyo, wacha kutuchanganyia lugha ovyo ovyo huo ni uchafu
Shule shule shule....!

Fungukeni enyi wafuasi wa Mwamedi
 
Hahaha, jeuri wa Wakristo katika kabisa ni kubwa mnooo hatusubiri kujengewa makanisa kama nyie hata misikiti mpaka mjengewe, mmezoea kuombaomba na kubebwa

Hata Management inawashinda
Kataa milioni 10 zile kelele za nini? Mwenye Jeuri hapokei , ukishapokea wewe unakuwa masikini jeuri
 
najua ninachotaka mkuu

1. kukusilimisha wewe na makasisi na mapadre na makadinali wanaokupotosha na wote sasa mjue mko kwenye imani potofu
2.kupaza sauti viongozi wajue waislam tunajua kuna mfumo kristo nchini tunachukia na hatuutaki
3. tunawaandaa ninyi wakristo nyakati za Rais mwislam baada ya miaka mitano ya Magu hatutaki mayowe na karaha na waraka zisizoisha
4.tunakomesha harakati zenu za wabunge wapumbavu za kutaka kubaka katiba na kumsimika Magu kuwa Nkurunzinza mpya wa bongo jambo litakaloleta machafuko nchini
5.waislam tunapata nafasi nzuri kama hii kupata thawabu na tuzo kutoka kwa Allah kwa kuwafikishia ujumbe wake wa wokovu
Ha ha ha ha kiongozi, you are too theoretical, em acha kuota, itoshe kusema with reasons bila upanga, vitisho, mikwara mbuzi kama yote, hakuna mwanadamu yeyote anaweza kuwa muislam, sembuse hapa jamii forum na kwa reasoning yako hakuna padre wa kupoteza muda na wewe, sababu you are not consistence with your poor premises.

Nimekupa the easiest possible solution on earth kuwa,,kama wakristu walitoa waraka enzi za JK sasa na nyie waislam toeni waraka enzi za JPM, ili mbalance equation, mbona ni simple, hili mmeshindwa,mnarukia tuwaeleze Utatu Mtakatifu. Inamaana ni kweli kabisa, mmeshindwa kutoa waraka kama wa wakristu wakati wa jk na kama mmeshindwa, je mnahitaji msaada wowote kutoka kwa wakristu.

Tanzania hakuna kitu kinachoitwa mfumo kristu, lakini kama kwa terminology, mfumo kristu, unamaanisha wakristu wengi serikalini kuliko waislam,,jibu ni rahisi,,wakatoliki wana vyuo vikuu vingapi na Bakwata wana vyuo vikuu vingapi?huu ni mfano kwamba ungetumia akili kidogo tu ,kuwa matokeo ya form four Islami seminaries zina zero ngapi na catholic schools zina divison 1.7 ngapi, ukibase na hizi data, zitakutoa ndotoni. Nimekupa challenge
 
Huna unalojua kwenye ukristu, zaidi ya kusoma majalida ya kina faizafoxy, taja mkristu mmoja aliyefukuzwa kundnini baada ya kuhoji utatu mtakatifu,,you have never had a foundational clues just roaming on the air
jumapili nenda kamhoji Askofu akueleze utatu mtakatifu kama utaachwa salama! utaambiwa una mapepo!! ukiweza kuhoji na ukipona uje unipe ushuhuda!
 
Kataa milioni 10 zile kelele za nini? Mwenye Jeuri hapokei , ukishapokea wewe unakuwa masikini jeuri
Kukataa mchango ni kama kukataa zawadi, sio uungwana lakini 10 million ni very small amount kwa church organization.

Kama kanisa linajengwa kwa 2-3 billions kwa harambee za ndani za mwezi tu what is 10M?

Labda ni tishio kwa huko masjid hata viti hamnunui
 
"Very Small amount" maana yake ata ukiikataa haina madhara , sasa si ukatae tuone jeuri yako unalialia nini hapa wewe , waimba kwaya wamepewa milioni moja tu na GOTI la shukrani wakapiga achana na hela wewe
 
najua ninachotaka mkuu

1. kukusilimisha wewe na makasisi na mapadre na makadinali wanaokupotosha na wote sasa mjue mko kwenye imani potofu
2.kupaza sauti viongozi wajue waislam tunajua kuna mfumo kristo nchini tunachukia na hatuutaki
3. tunawaandaa ninyi wakristo nyakati za Rais mwislam baada ya miaka mitano ya Magu hatutaki mayowe na karaha na waraka zisizoisha
4.tunakomesha harakati zenu za wabunge wapumbavu za kutaka kubaka katiba na kumsimika Magu kuwa Nkurunzinza mpya wa bongo jambo litakaloleta machafuko nchini
5.waislam tunapata nafasi nzuri kama hii kupata thawabu na tuzo kutoka kwa Allah kwa kuwafikishia ujumbe wake wa wokovu
Waislam mnamatatizo mengi NDANI ya uislam kuliko NJE ya uislam. Kuelewa UTATU MTAKATIFU sio solution ya matatizo ya waislam nchini na kwingineko kote. Mind you, sishindwi kukuelezea Utatu mtakatifu, but you are not worth nipoteze muda wangu kukuelezea Utatu Mtakatifu.

By the way, unajua two faculties of a human mind, yaani Intelect and Will.

Kama unazijua,,,hauko mbali na ufalme wa Mbinguni,,ila kama unaendelea kukomaa umefundishwa ukristu mlimani na Proffesa nguli, utakwama,,,Nani amekwambia UDSM ni chuo cha christianity.

You depart with a wrong premise, vainly you can hit a right conclusion.
 
Ha ha ha ha kiongozi, you are too theoretical, em acha kuota, itoshe kusema with reasons bila upanga, vitisho, mikwara mbuzi kama yote, hakuna mwanadamu yeyote anaweza kuwa muislam, sembuse hapa jamii forum na kwa reasoning yako hakuna padre wa kupoteza muda na wewe, sababu you are not consistence with your poor premises.

Nimekupa the easiest possible solution on earth kuwa,,kama wakristu walitoa waraka enzi za JK sasa na nyie waislam toeni waraka enzi za JPM, ili mbalance equation, mbona ni simple, hili mmeshindwa,mnarukia tuwaeleze Utatu Mtakatifu. Inamaana ni kweli kabisa, mmeshindwa kutoa waraka kama wa wakristu wakati wa jk na kama mmeshindwa, je mnahitaji msaada wowote kutoka kwa wakristu.

Tanzania hakuna kitu kinachoitwa mfumo kristu, lakini kama kwa terminology, mfumo kristu, unamaanisha wakristu wengi serikalini kuliko waislam,,jibu ni rahisi,,wakatoliki wana vyuo vikuu vingapi na Bakwata wana vyuo vikuu vingapi?huu ni mfano kwamba ungetumia akili kidogo tu ,kuwa matokeo ya form four Islami seminaries zina zero ngapi na catholic schools zina divison 1.7 ngapi, ukibase na hizi data, zitakutoa ndotoni. Nimekupa challenge

dunia nzima inapiga vita uislam na wameshindwa na hakuna upanga unatumika kuenea kwake ni logic tu, hebu soma hapa chini uamke!

The Future of World Religions: Population Growth Projections, 2010-2050

Islam will be largest religion in the world by 2070, says report

Islam set to become the world’s largest religion as Muslim births increase

Why Muslims are the world’s fastest-growing religious group

Global Muslim Population 2030

Islam set to become world's largest religion by 2075, study suggests
 
Hutaki tena Utatu Mtakatifu, Kadinali, kasisi, teuzi, mfumo Kristu, nimekwambia matatizo ya waislam yako ndani ya waislam sio NJE ya uslam
leo nimepata mwanafunzi kilaza mno, hebu kasome maana ya pull and push factors, internal and external factors and the like! matatizo ya waislam hutoka nje yao na kuathiri ndani!! mfumo kristo ni kivuruge kwa mfumo mzima wa maisha ya waislam nchini!!

shule nyingi za dini ya kikristo zina magumashi mengi hujui kitu wewe watoto hupewa pepa wafauli ili business ya shule hizo ikue! shule za serikali zikipasua pepa huwa ni halali!!
 
Mtoa mada umeanza vibaya mada yako kwa kusema hovyo kuwa mtu asie na akili hujadili suala la dini , wewe si muislam na hivyo huna uchungu wala hasara kwa waislam kunyimwa nafasi za elimu na ajira tangu tupate uhuru na ukweli tunamtakia Baba yetu yule apewe adhabu inayomstahili na Allah kwa kusimika mizizi ya mfumo kristo uliopotosha imani thabiti za mamilioni ya watu!

ndugu zangu wakristo wote nawaalika tafadhali someni hapa chini mjifunze kitu japo kimoja!!!

Mosi ikumbukwe mkristo akifa sisi waislam hatusemi alale mahali pema peponi bali kwakuwa amekufa akiwa kafiri tunasema alale mahali panapomstahili kama Mzee Ruksa aliposema kuhusu hayati Mwalimu , hatusemi ulale pema peponi kwakuwa tuna asilimia mia mbili tunajua maiti huyo kafiri anaenda kuuvaa moto wa milele na hatuna cha kufanya kumsaidia na unafki si jadi ya kiislam!!

Halafu wakristo mnamaliza rasilimali za dunia na kuwaacha wafiwa na njaa kali na uchungu mwingi kwa kufiwa kwa kutumia michango yote ya rambirambi kumnunulia maiti nguo za thamani ambazo akiwa hai hakuvaa, mnanunua sanduku la mamilioni na kwenda kulifukia bure tu maiti wala halioni,

Mnakodisha gari la thamani kubwa na kumbeba maiti wakati akiwa hai hamkumpandisha gari kama hilo, mnakodisha kwaya kuja kuimba kwa gharama kubwa,

Mnakodisha watu wa kuja kulia msibani na kisha mnajenga makaburi yenye makaro makubwa ya thamani na kuweka mifuniko ya zege hata maiti akifufuka kwa bahati nzuri asiweze kutoka!! kwanini msiwape wafiwa hizo pesa mwenye kwenda kaenda tu amkeni!!

sisi waislam wasomi wa bongo tuna hasira mno na mfumo kristo wa nchi hii na wakati wake ukifika itakuja kulipuka tu one day! ngoja tusomeshe kwanza watoto wetu!

kitabu chetu kitakatifu kinaonesha sehemu flani kuwa mara nyingi unapofanya mabaya duniani unapokufa Allah hukuanika mbele ya kadamnasi ndani ya sanduku kila mtu anapita na kuona ulivyokwisha na kubadilika rangi kuwa kahawia na kunyamaza kimya ndani ya Sanduku lako na hii ni tamaduni mbovu sana ya ndugu zetu wakristo kuanika maiti watu kupita na kukusimanga ndani ya sanduku wanasema nyoo kafiri mkubwa we si ulijifanya Mungu mtu ukatesa watu amka sasa kama unaweza! ziko stori za maiti kugeuza uso baada ya mtu flani aliemchukiza maiti kupita!!

Ndio maana muislam halisi ZZK alishinikiza sana Mama Mchungaji aliekufa aletwe bungeni nayeye amsimange wakati akipita kuaga kulipiza kosa la mama kupiga makofi eti ZZK auwawe ila akafa yeye!! mfano upo katika kitabu chetu kuna stori ya Farao aliemchukiza sana Mungu na kuachwa asioze kwa uwezo wake Baba kwakuwa wakati huo hakukuwa na dawa ya kukausha maiti kitabu kinasema alimkufuru Mungu kwa kujiita Mungu nae Allah akamhifadhi ili wanadamu wote wamuone mhalifu huyu karne kwa karne! ukienda Misri unamuona live!!

kwa mujibu wa kitabu chetu kile ukiwa kafiri kama makafiri waliojaa bongo huwezi kuwa na akili zote kila wakati dishi lazima huwa linayumba! fanya utafiti utaona jinsi madishi ya kikristo yanavyoyumba kila mara kama Bashite!!

ukweli waislam hawasemi chochote kuhusu ubaguzi uliopo kwenye elimu na ajira ili kulinda amani na mshikamano nchini ila waislam huona wakristo ni debe tupu linalovuma na huwaonea huruma sana kwa kuokotwa na wazungu ambao ukweli ni wapagani si wakristo!!!ukristo uko Vatican tu!!! ukibisha uliza wabongo walioko ulaya watakupa this fact!! mfano ukienda ujerumani wakimbizi wa kiislam wanaswali kiislam makanisani kwa wingi kwa kupokezana na wazee wachache wa kigalatia wanaosali, huko US waislam wananunua makanisa na kugeuza misikiti makanisa hayana mwenyewe waislam wanauziwa majengo na manispaa! kule Norway makanisa ndio kumbi za harusi kitchen party na sherehe kikundi chochote kikiomba kanisa hata kupiga muziki inaruhusiwa makanisa hayana mwenyewe naye Bashite anaongea tu utumbo!! katuchefua sana waislam wa nchi hii!

ukweli ni kuwa waislam huwaona makafiri wote duniani wako katika ndoto wakidhani wanaishi duniani kumbe wako usingizini na hii ni kutokana na kitabu kitakatifu kutoka Arabia kujaa mantiki aya zote , kitabu kutoa elimu zote na kutaja mambo ya nyakati zote na hii ni kuthibitisha kuwa ni maneno ya Mungu sababu Mtume Muhammad SAW alikuwa mfanyabiashara na hakusoma shule hata darasa moja na aliishi jangwani asingekuwa na akili ya kusema kila kitu kwa mantiki bila kukosea na kuwaza mambo ya karne mia mbele na kujua sayansi zote za mimea, mashine, uumbaji na ukuaji wa mimba nk!

Dini ya kikristo imejengwa katika kuta za tope kupitia utatu mtakatifu my foot!! kwa mujibu wa vurugu kubwa ya kiakili ya kuelewa utatu mtakatifu usioeleweka, elimu hii ya kikafiri inayopingana na Logic sasa naeleza vizuri hapa chini na hapo utaona wakristo wote duniani hawana akili kabisa japo hawajijui tu!

yaani wewe ni mtu mzima unaambiwa Mungu ni mmoja ila unahesabu unaona wako watatu na wewe una madigirii kama yote unashindwa kufikiri na unakubali huo utumbo kweli? ona sasa hapa chini hesabu taratibu bila mhemko wala kutumia imani uko nayo weka pembeni kwanza hesabu sasa Mungu wako wangapi!!

1.Mungu baba yuko mbinguni na kazi zake za uumbaji mojawapo ni kumuumba Mungu mwenzake (Yesu ) bila kuwa na baba
2. Mungu roho mtakatifu ni nani huyu ni malaika Gabriel au ni ile sauti iliyoko ndani ya mwanadamu imwambiayo cha kusema na kutenda muda wote?
3.Mungu mwana (Yesu) huyu ni binadamu kama mimi nawewe japo hakuzaliwa na baba na ni fundi seremala na yuko ardhini anahubiri injili ambako wanadamu aliowaumba (kumbuka yeye ni Mungu) wanamzidi nguvu wanamuua na kusababisha hapo hapo kutokea giza kwa Mungu kufa na dunia kuanza kujiendesha yenyewe kuanzia wakati huo sababu Yesu ni sehemu ya Mungu wale watatu sasa kuuwawa kwake msalabani kunasababisha na wale Miungu wengine wawili Mungu Baba na Mungu roho mtakatifu nao kufa maana na wao ni sehemu ya yeye (Yesu)! Wakristo wengine husema Mungu (Yesu) ni mmoja tu na ndo huyo huyo alishuka duniani na kule juu mbinguni kukawa empty kwa dhana hiyo ina maana Mungu (Yesu) aliposulubiwa msalabani na kuuwawa na mayahudi aliowaumba Dunia ilibaki bila Mamlaka ya Mungu??? this christianity is built in rubbish illogical thinking and dirty information!!

ama kweli akili ya wakristo iko kwenye mfuko wa sharti akivua shati akitundika analala free kama mtoto! yani tujiulize binadamu mayahudi wana nguvu ya kuua Mungu aliewaumba? (Yesu)?! akili au matope!! mfano eti kuku amuue kwa kumpiga binadamu anaemfuga!!!

kitabu kile kueleza yesu kufa mara mbili ( kufa msalabani na kupaa na baadae atarudi duniani na kufa tena) , we uliona wapi mtu alikufa akafufuka? kama ingekuwa kufufuka ni rahisi tungewafufua wapendwa wetu wote waliotangulia mbele za haki!! kifo ni mara moja tu na hakuna kufufuka kiboya boya!

Mantiki ya kiislam ni kuwa Yesu hakufa msalabani bali alipazwa juu ili binadamu wasiweze kumsulubu na asiwe ni mwenye kulaaniwa kwa mujibu wa mila za kiyahudi na biblia amelaaniwa kila aangikwae juu ya mti sasa iweje Mungu Mwana aangikwe juu ya mti auwawe kwa kupigwa misumari na wanadamu aliowaumba na alaaniwe hii ni akili au matope!! pale Giza lilitokea kwa masaa matatu ambako Yesu alipaa ni mzima na atarudi kuwakana wote waliomzushia kufa msalabani na atakufa sasa kiukweli si kifaulongo!!

mkristo yoyote atakaeona tabu katika kuelewa na kukubali dhana hii ya utatu mtakatifu japo kidogo ajue tayari ameokolewa wokovu umefika nyumbani mwake na asilimu kwa Sheikh haraka nami naamini kwa jinsi nilivyoeleza utatu mtakatifu vizuri mje kwa wingi na nyote tutawapokea inshaallah!

Makadinali wote wa dunia pamoja na maaskofu kaeni kikao kisha njooni hapa mnijibu mnieleze hoja zenye mantiki kwanini Mungu ni mmoja ana roho tatu na roho moja ikifa msalabani (Mungu Mwana Yesu) roho zingine mbili za kiumbe hicho hicho (Mungu Baba na Mungu Roho Mtakatifu) zibaki hai! Na kama Yesu ndie Mungu mkuu alieshuka duniani kwa umbo la binadamu kwanini aliowaumba wawe na uwezo wa kumtundika msalabani na kumuua? na kama walimuua kweli ina maana dunia haina Mungu tena?????

Ukiona kobe yuko juu ya mnazi ujue kapandishwa tu! wakristo mnapandishana juu kwa kutumia mfumo na hamtaki kusikia mada za udini kwa sababu ni mwiba kwenu!! nasi tukipata nafasi japo ndogo kama hizi tunakumbusha mmepotea huko njooni kwenye njia ya kweli na uzima wa milele kupitia mtume wetu Muhammad SAW

Viongozi wanapaswa kujua waislam wanahesabu idadi ya waislam walio na madaraka nchini na wanafuatilia kwa karibu kila teuzi japo kimya kimya tu siku yake ikifika watalipuka labda ni miaka 20 ijayo!
Daaah umetudharau sana waislam wenzako....ALLAH AKULAANI WEWE NA UZAO WAKO MPAKA KIZAZI CHAKO CHA 200....hauwezi kuwa mjinga hivi then ukajiita muislamu...pambafuu
 
Daaah umetudharau sana waislam wenzako....ALLAH AKULAANI WEWE NA UZAO WAKO MPAKA KIZAZI CHAKO CHA 200....hauwezi kuwa mjinga hivi then ukajiita muislamu...pambafuu
Allah ataanza kukulaani wewe na wazazi wako inshaallah na utaanza kuona siku si nyingi nguruwe wewe, mimi ni sharifu na kwa uwezo wa Allah akulaani kama una kazi ikutoke inshaallah, mjinga na mpumbavu niwewe na ukoo wako watu tunaonewa nchi hii waislam tunaishi kimaskini we unachekelea kuku wewe! sina shaka hata kuswali huswali wewe! tumeagizwa na Allah kusema ukweli na kuhubiri dini mbwa wewe, wakiitwa waislam watoke nawewe utatoka kafiri mkubwa wewe! unafikiri kwa dizaini ya fisi kama wewe uislam ungeenea? farasi we! ukome kuingilia mahubiri ya dini punda wewe.
 
Daaah umetudharau sana waislam wenzako....ALLAH AKULAANI WEWE NA UZAO WAKO MPAKA KIZAZI CHAKO CHA 200....hauwezi kuwa mjinga hivi then ukajiita muislamu...pambafuu
kwa taarifa yako huwezi kuleta mabadiliko yoyote ya mfumo mbovu bila kuwachukiza wahusika! lazima uandike vitu vya kuwachoma roho paka shume we! kusanya akili zenu ukoo mzima hamfikii hata robo ya akili zangu!
 
Waislamu hatuna tabia za kinafiki kuandika waraka na kutoa matamko kila uchwao , Rais afanye kazi yake na viongozi wa dini waendelee na kazi zao , hiki kieherehere cha kujifanya kuingilia Rais muache , acheni udini nyie wakristo,
Fukuto la nini kama mmeridhika na hali hiyo,,,
 
Kama umeamua kuandika kiingereza fanya hivyo au kama umeamua kiswahili fanya hivyo, wacha kutuchanganyia lugha ovyo ovyo huo ni uchafu
Would you stick to the point rather than bitting around the bush, for the health and dignity of the forum
 
jumapili nenda kamhoji Askofu akueleze utatu mtakatifu kama utaachwa salama! utaambiwa una mapepo!! ukiweza kuhoji na ukipona uje unipe ushuhuda!
Then, nitakuwa 1st case study yako sio? Maana nilikuuliza nitajie mtu mmoja duniani aliyehoji Utatu Mtakatifu, hujamtaja, unaniambia niende mimi. This is where you loose credibility of your views
 
Back
Top Bottom