Dini na ukabila zisihusishwe na Taasisi ya Rais

Kwenye awamu ya JK nyie ndio mlikuwa mnamlaumu kuwa hawajali waislam wenzake na yupo karibu na Wakristo.

JK akawajibu kuwa mkasome muwe kama wenzenu, muache kulialia kama watoto wadogo.
Kulaumu ata Mungu analaumiwa tu , tatizo ni kiherehere cha kuandika waraka na kutoa matamko kutoka kwa viongozi wako wa dini , siku hizi kile kiherehere kimeishia wapi ? au ndio wa upande wenu asemwi vibaya
 
Sikuhizi tumetulia tuli tunasikiliza mawaidha ya Sheikh Kipoozeo

Mnyaaazi mungu amtunze mja wake huyu
 
Tuambie alieingia Nssf kwa juzuu nani? kama hakuna mlikuwa mnabwata nini waislamu kuwa wengi NSSF ?
Pale si mlibebwa tu kama mlivyobebwa na Mkapa kwa kupewa jengo la TANESCO mkafungua chuo cha MUM

hahaha...! Dau aliwapigia pande sana
 
Sikuhizi tumetulia tuli tunasikiliza mawaidha ya Sheikh Kipoozeo

Mnyaaazi mungu amtunze mja wake huyu
Acheni unafiki nyie , ata huyo Mungu kazi anayo sio kwa unafiki huo mliokuwa nao , Mkimuona Muislamu kelele kama bata , ila akiwa mwenzenu ata afanye ujinga gani mnacheka cheka tu
 
Pale si mlibebwa tu kama mlivyobebwa na Mkapa kwa kupewa jengo la TANESCO mkafungua chuo cha MUM

hahaha...! Dau aliwapigia pande sana
Tuonyeshe alieajiriwa kwa juzuu? kama hauna uzushi basi ndio tabia yenu
 
Acheni unafiki nyie , ata huyo Mungu kazi anayo sio kwa unafiki huo mliokuwa nao , Mkimuona Muislamu kelele kama bata , ila akiwa mwenzenu ata afanye ujinga gani mnacheka cheka tu
Umeshaanza kulialia kama kawaida yenu watoto wa Mwamedi

Haya futa machozi tutawajengea msikiti mkuuubwa
 
Ni Gospel tu , ndio nyimbo za serikali kwasasa ,
Bas inapendeza sana, kwasababu wanaimba kwa lugha ya kiswahili hata Waislam watanzania wanaisikia sio kile kiarabu cha kina Mwamedi waita Kaswida..la haula sheikh
 
Umeshaanza kulialia kama kawaida yenu watoto wa Mwamedi

Haya futa machozi tutawajengea msikiti mkuuubwa
Anajenga kwa kodi zetu hakuna tatizo , mbona katoa milioni 10 za kujenga kanisa chato na milioni moja za waimba kwaya ? au kwavile wamepewa wakristo wenzenu umetulia tuli
 
Bas inapendeza sana, kwasababu wanaimba kwa lugha ya kiswahili hata Waislam watanzania wanaisikia sio kile kiarabu cha kina Mwamedi waita Kaswida..la haula sheikh
Ata Diamond na NEY wanaimba kiswahili muwe mnamuweka , sio Gospel peke yake
 
Anajenga kwa kodi zetu hakuna tatizo , mbona katoa milioni 10 za kujenga kanisa chato na milioni moja za waimba kwaya ? au kwavile wamepewa wakristo wenzenu umetulia tuli
Sisi hata asipotoa makanisa yanajengwa na Wakristo kwasababu tuna management nzuri sio hiyo Bakwata yenu sijui Balukta na kusubiri kujengewa misikiti
 
Hata asipotoa huku mnapokea? Zikataeni hizo pesa tuone jeuri yenu,ata kumsema mnaogopa hamna ubavu kukataa pesa yake
 
Back
Top Bottom