Dini na ukabila zisihusishwe na Taasisi ya Rais

Wanabodi, Watu waliokosa maarifa ndio wanaojadili habari za dini kwenye Taifa hili la Tanzania

Msongo wa mawazo au stress zinazidi kuharibu vijana wengi, Hizi dini zina historia yake, Wengi wamerithishwa dini toka kwa wazazi wao,Ukiuliza historia ya dini zao hawana maelezo ya kutosha, Wamejawa misimamo na itikadi za kibaguzi

Je, Wale wahindi na baadhi ya watu wa Asia Dar es salaam,Singida na Mtwara mbona wao hawalalamiki kukosa teuzi serikalini au watu wao kupewa nafasi serikali,Hawa wahindi na wa Asia ni watanzania halisi zaidi ya wengi wetu kwani wameshiriki kujenga Taifa hili miaka mingi sana

Je, Uwiano wa dini utatoka wapi wakati kila mtu ana uhuru wa kuchagua, Marekani Beyonce ana dini yake na kanisa lake,Je waumini wa Beyonce mwanamuziki miaka 100 ijayo nao watalazimisha teuzi hapa Marekani.

Karne ya ishirini na moja kuna baadhi wamegeuka vituko kama sio vituko basi katuni,Hawa wenye mawazo ya udini na ukabila ni washamba na wapumbavu,Mtu safi kichwani unaoa au kupenda mtu wa dini au kabila lolote.

Nikijibiwa haya maswali nitakuwa wa kwanza kuhubiri dini na ukabila Tanzania

Mosi, Kwanini waislamu washika dini sana wanajiunga na vikundi vya kigaidi mfano Alshabab,Alqaida na Isis ,Hii ndio nguzo kuu ya upendo?

Pili ,Kwanini wakristo washika dini sana wanakuwa wabaguzi sana na kuwaita wenzao wa Mataifa,Hii ndio nguzo kuu ya upendo?

Je, Historia ya uislam watu wanafahamu na kufundishwa au kujisomea mfano kwanini watu wanavaa kanzu badala ya suti msikitini,kwanini watu wanazikwa kwa sanda badala ya sanduku

Je, Jangwani kulikuwa na miti ya kutosha ili kutengeneza masanduku,Hakukuwa na miti ya kutosha, hivyo waislamu wanafundishwa historia ya kuzika bila sanduku

Je, historia ya ukristo inafundishwa vyema,Hapo awali watu walisali makanisani? Sinagogi na kanisa la leo yanautofauti gani?

Haya madhehebu yanayopiga kelele sasa na maspika makubwa yanaelewa chimbuko lao ni kanisa katoliki?

Tuzisome historia za dini zetu hizi,Tukizijua vizuri hakika hatutajadili mambo ya dini au ukabila au kuhusisha Taasisi ya Rais na mambo ambayo watu hawajui historia yake

Historia za hizi dini ukizisoma vizuri unaweza ukaacha hata kwenda Msikitini au Makanisani,Jinsi uislamu ulivyoenezwa kwa mapanga na mashoka utacheka sana ,Ukristo ulivyowashughulikia wanasayansi waliosema dunia duara wao wakiamini Dunia ni kama meza
Usukuma on fleek
 
Halafu hilo zigo la familia likikushinda mje mlaumu mfumo kristo....dini ya ajabu hii
Dini ya ajabu kwakuwa tumeruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja? Au dini ya ajabu kwakuwa kuna watu wanazaa watoto halafu anashindwa kuwalea? Kumbuka huko kwenu viongozi wa dini wanaoana wa jinsia moja, kuna wale sabato masalia walienda airport bila passport wala doc yoyote na walisubiri kusafiri kisa dini je hayo sio maajabu?
 
Hivi nyie mlikuwa hamumlalamikii kikwete? Au kule sio kulalama? Waraka daily ila saivi kaingia mwenzenu mpo kimya
Usiseme nyie. Hapa niko peke yangu wala siwakilishi dini ya mtu yotote.
Kama mtu analalamika hapati kazi aababu ya udini.
Huyo ni lofa. Na haijalishi ni dini gani.

Qualification zako ndizo zinakubeba
 
Dini ya ajabu kwakuwa tumeruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja? Au dini ya ajabu kwakuwa kuna watu wanazaa watoto halafu anashindwa kuwalea? Kumbuka huko kwenu viongozi wa dini wanaoana wa jinsia moja, kuna wale sabato masalia walienda airport bila passport wala doc yoyote na walisubiri kusafiri kisa dini je hayo sio maajabu?
Hayo sio maajabu kwa maana wanasema amani ya nchi inaletwa na kanisa!!! Hivi kwanini "wanafiki hawa" hujiegemeza katika udini na ukabila nyakati za chaguzi? Kwanini kanisa lilijificha na halikuhusika katika uhuru wa Tanganyika na likachomoza baada ya matunda ya uhuru? Na ndipo Sheikh Takadir alipohoji akaitwa mtakadini maana aliyaona maajabu mapya toka kwa watu wa ajabu
 
Una uwezo mdogo sana wa kufikiri kiongozi

Shusha presha na pumzi unapojadili mambo,Punguza hasira na povu ,Jenga hoja

Hapa hatujadili mambo ya kiroho ambayo hayaonekani,Imani ni mambo yasionekana hivyo hatuyajadili hapa

Usigeuza hii mada vita ya mapambano kati ya ukristu na uislam

Kuna dini zipo kabla ya ukristu na uislam

Dini na Imani za kibudha na kihindu zipo kabla ya uislam wako

Dini yako inakujaza hasira na chuki sana basi nena allepo au Syria ukajitoe muhanga

NB

Alieanzisha mada ya kuuwawa zito ni Abdallah Bulembo,Sasa Abdallah Bulembo unaeelewa maana ya Abdallah wewe
Mkuu umenena vyema, ni wenye akili tu wanaweza kujenga hoja sio 'wale jamaa'
 
Kwanini mnakafiniwa kinyesi na kuzikwa bila jeneza?
hiyo nitauliza masheikh wataniambia, sisi waislam tunaruhusiwa kuhoji kila kitu baada ya sala sio nyie wakristo mnahubiriwa kisha sadaka kisha mnaambiwa mtawanyike hakuna kuhoji kitu!

japo nijuavyo mimi mtu huzikwa kama alivyokuja duniani bila chochote zaidi ya shuka tu ya kumfunika , hakuna haja ya mbwembwe sababu chochote mnachomfanyia maiti hakioni na hakina maana kwake kwakuwa tayari anakuwa kahama ulimwengu wa mwili na kuenda ulimwengu wa roho
 
Ulipaswa kuishia hapa kama mtu mwenye akili!

Swali langu linahusiana nini na haya mashudu yako hapa? Au tayari umeshavaa kipedo abdoool

Kwanini azikwe kama alivyokuja duniani na akizikwa vinginevyo athari zake ni zipi?
.
Waarabu kwao ni jangwa na tena miaka hiyo hata mzungu alikuwa hajaenda kuwapelekea technology ndio maana walizikana hivyo HAWAKUWA NA MITI.
.
Nasubiri ufafanuzi makini na kwanini mnawakafini na uniambie aliyemkafini marehemu Muddy anaitwa nani
umesema vizuri mno big up! Islam is universal and all times religion ndio maana kila kitu chake kina logic kubwa kuwa muislam aishie popote duniani aweze kuabudu bila kutegemea mazingira anayoishi, huhitaji miti kumzika aliekufa!!

kumkafini maiti is simple! ni kumuosha na kumsafisha na kumpamba kwenda kukutana na Mola wake aliemuumba hakuna zaidi. jisomee zaidi hapa

Kuosha Maiti | Alhidaaya.com
 
Hii inaweza kuwa mara ya nne nakwambia jifunze kunukuu na kujibu kile kilichoandikwa huyo ndugu kaandika uajabu wa dini yako but still unaleta ambayo hayako lengo lako mjadala uhamie kwenye kuoa vitoto vya miaka tisa ama?
.
Embu grow up hata kama huwa unatembea umevaa kanzu barabarani kama **** ila grow up.
Wewe ni chizi, nilichokinukuu kinatofautiana nini na nilichoandika? Kaonyesha maajabu ya dini yangu na mimi nimemuonyesha maajabu ya dini yake, wewe na akili zako fupi ndio umetoka nje ya mada kuleta mambo ya miaka
 
Ila angalau mimi najua kusoma na kuandika kuliko yule marehemu wenu.
Siwezi kukushangaa kwakuwa wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe wakati huohuo kuna aliyetundikwa kwa mizigo ya wengine
 
Wanabodi, Watu waliokosa maarifa ndio wanaojadili habari za dini kwenye Taifa hili la Tanzania

Msongo wa mawazo au stress zinazidi kuharibu vijana wengi, Hizi dini zina historia yake, Wengi wamerithishwa dini toka kwa wazazi wao,Ukiuliza historia ya dini zao hawana maelezo ya kutosha, Wamejawa misimamo na itikadi za kibaguzi

Je, Wale wahindi na baadhi ya watu wa Asia Dar es salaam,Singida na Mtwara mbona wao hawalalamiki kukosa teuzi serikalini au watu wao kupewa nafasi serikali,Hawa wahindi na wa Asia ni watanzania halisi zaidi ya wengi wetu kwani wameshiriki kujenga Taifa hili miaka mingi sana

Je, Uwiano wa dini utatoka wapi wakati kila mtu ana uhuru wa kuchagua, Marekani Beyonce ana dini yake na kanisa lake,Je waumini wa Beyonce mwanamuziki miaka 100 ijayo nao watalazimisha teuzi hapa Marekani.

Karne ya ishirini na moja kuna baadhi wamegeuka vituko kama sio vituko basi katuni,Hawa wenye mawazo ya udini na ukabila ni washamba na wapumbavu,Mtu safi kichwani unaoa au kupenda mtu wa dini au kabila lolote.

Nikijibiwa haya maswali nitakuwa wa kwanza kuhubiri dini na ukabila Tanzania

Mosi, Kwanini waislamu washika dini sana wanajiunga na vikundi vya kigaidi mfano Alshabab,Alqaida na Isis ,Hii ndio nguzo kuu ya upendo?

Pili ,Kwanini wakristo washika dini sana wanakuwa wabaguzi sana na kuwaita wenzao wa Mataifa,Hii ndio nguzo kuu ya upendo?

Je, Historia ya uislam watu wanafahamu na kufundishwa au kujisomea mfano kwanini watu wanavaa kanzu badala ya suti msikitini,kwanini watu wanazikwa kwa sanda badala ya sanduku

Je, Jangwani kulikuwa na miti ya kutosha ili kutengeneza masanduku,Hakukuwa na miti ya kutosha, hivyo waislamu wanafundishwa historia ya kuzika bila sanduku

Je, historia ya ukristo inafundishwa vyema,Hapo awali watu walisali makanisani? Sinagogi na kanisa la leo yanautofauti gani?

Haya madhehebu yanayopiga kelele sasa na maspika makubwa yanaelewa chimbuko lao ni kanisa katoliki?

Tuzisome historia za dini zetu hizi,Tukizijua vizuri hakika hatutajadili mambo ya dini au ukabila au kuhusisha Taasisi ya Rais na mambo ambayo watu hawajui historia yake

Historia za hizi dini ukizisoma vizuri unaweza ukaacha hata kwenda Msikitini au Makanisani,Jinsi uislamu ulivyoenezwa kwa mapanga na mashoka utacheka sana ,Ukristo ulivyowashughulikia wanasayansi waliosema dunia duara wao wakiamini Dunia ni kama meza
Sijui unawezaje kutenganisha ubaguzi na hii taasisi?

I wonder how maana bwana makokoto is a champion of kubagua watu kwa criteia zake yeye anazojua.
 
Mtoa uzi huu ni mpumbavu mmoja hivi kwa maana kuwa haelewi, na hata akielezwa hataweza kuelewa. Akili pekee aliyoionesha ni kuleta huu uzi. Kwa kuuleta anakiri uwepo wa aina za ubaguzi aliojaribu kushawishi wananchi wasiuone. Ajibu maswali haya:
√kachimbua wapi neno "ubaguzi"?
√anajua kuna ubaguzi kwa misingi ya dini, kikanda, kikabila, kisiasa, nk?
√hajui kuwa kuna upendeleo wa wazi katika ajira na kupeleka miradi ya maendeleo kwa misingi ya kisiasa japo hakuna ubaguzi kwa misingi ya kutoza kodi na kulipa madeni ya nchi?
√katika Awamu zote Nne zilizopita za utawala wa ccm, marais walikemea na kupiga vita ubaguzi. Hilo lifanyiki katika awamu ya tano?
Wananchi wanaona jinsi Taasisi ya Rais ilivyojihusisha na baadhi ya mambo ya hovyo; imestawisha na kukuza ubaguzi nchini.
 
Kwamba tumsubiri msanii kama Diamond ajenge kanisa aje atukabidhi?
ahahaha what a foolishly 😝
Kwani Diamond tofauti yake ni Gwajima ipi ? Bora ata Diamond hajawai kuweka mambo hadharani !!
 
Azarel called you a teen no doubt you're a teen tena a dumb one!
.

Unaweza kuuthibitishia umma wa JF na Polisi kuwa ile clip ni ya Gwajima ili wamchukulie hatua kali za kisheria?
.
And BTW Gwajima hajajenga Kanisa na hana uwezo wa kujenga Kanisa ndio maana anatembelea Hammer ila Kanisa analohudumu ni la mabanzi pana sababu.
Kanisa ni madhabahu ya bwana ili madhabahu ijengwe ni lazima waumini washiriki.
Abdool grow up
1.Nimekwambia unipe tofauti ya gwajima na diamond ajabu unaanza kulialia hapa !!

2.Unataka uthibitishou gani mwengine , mbona za kina Menina uliziamini ? Muendelezo ule ule wakifanya wengine kichwa kichwa mnaamini ila akifanya kiongozi wenu mnataka uthibitisho , kwa kukusaidia tafuta video angalia ,nenda kanisani kwa Gwajima ukimuona jibu utakuwa nalo , nimekuona umeandika madhabahu ya Bwana acha utoto madhabahu ni ya aliejenga na ndio hao wanatoa majina mara kwa bulldozer mara kwa upako , kadanganye watoto wenzako , hakuna mtu wa kumbishia Gwajimwa kanisani kwake wala kakobe kaa na ujinga wako hapo madhabau ya bwana
 
Back
Top Bottom