Dini na ukabila zisihusishwe na Taasisi ya Rais

Dini na ukabila zisihusishwe na Taasisi ya Rais

Makanisa yachomwe, mapadri wauawe, wengine wamwagiwe tindi kali, maandamano ya ajabu ajabu kila kona halafu JK yupoyupo hakuna askofu atakaye nyamaza....jirekebisheni
Magaidi wote ni?
 
hahaha! hebu read between the lines my first comment katika uzi huu then utajua akili zangu zimezidi sababu hakuna mkristo anaweza kumaliza kusoma my comment na asinijibu kwa maneno au moyoni mwake tu!!

kwa taarifa yako ndege uzionazo angani tu mi nazipanda kama baiskeli ndugu kwa miaka kumi na tano sasa na huwa napenda kunywa apple juice with ice! nina passport mpya sasa na nikwambie passport ikiisha muda uhamiaji wanaikata ncha zake na kukurudishia na kukupa na ingine mpya hata hujui!!

nikiwa nasafiri napenda kukaa dirishani na kuangalia speed ya ndege hasa inapofika km 950 kwa saa huwa napenda zaidi na nacheki mahali tulipofika kama ramani kwenye screen ya mbele ndani ya ndege inaonesha tuko kwenye mji mkubwa naangalia chini kuuona mji kupitia dirishani!

nina uhakika anga za mbali nilipofika mimi wewe na ukoo wako mzima mkijumlisha hamnifikii!!
Ustadhati

Mtume wako hakujua kusoma wala kuandika ,Wewe hayo maandishi unayajua alitafsiriwa na nani?

Hapo Mecca kulikuwa na mtu mmoja tu anayejua kusoma na kuandika ambaye ni Aboubakari

Kuna mambo mengi kwenye dini zenu hizo mengine ni siri kaa kimya
 
dini yetu kupitia aya kibao za kitabu chetu yatulazimisha kusoma na kujua kila kitu na kuhoji Masheikh na kila mtu kuhusu kila kitu! yapi ya kiislam uyajuayo wewe ni siri? yaanike hapa tujifunze!! kwa taarifa yako waislam tunaujua uislam na pia tunaujua ukristo A to Z huna cha kunidanganya! hebu niletee kasisi kwanza wewe huna elimu yoyote umejaa mipasho tu!!
 
Wakati wa JK mlibwata sana kuwa alikuwa mdini , wakati huu mkiambiwa JPM mdini mnaanza kuandika kauli mbofu mbofu , yaani kwenu nyie kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha, ebu tulia dawa ikuingie
Si nyie ndio mlikuwa mnamlaumu J.K na kusema kuwa hawapendi waislam na anawapendelea Wakristo?

Ninyi tangu awamu ya kwanza ni mnalialiaga tuuu kusoma hamtaki mnapenda kubebwa kama Mkapa alivyowabeba kwa kuwapa jengo la TANESCO mkalifanya Chuo.

Ndio maan a Kikwete aliwaambia nendeni shule muache kulalamika

Teh teh....
 
Magaidi wote ni?
Funguka wewe acha ujinga! magaidi unaoaminishwa ni watu wateteao maslahi ya nchi zao si wahalifu!! to determine a status of a person depends on your side and biases, ukiwa upande wa pili kulinda maslahi yako unasema huyu ni gaidi ila kule anakotoka huyo gaidi huitwa hero au freedom fighter! akili zako hazijai hata kijiko! una local unidimentional knowledge!!
 
Si nyie ndio mlikuwa mnamlaumu J.K na kusema kuwa hawapendi waislam na anawapendelea Wakristo?

Ninyi tangu awamu ya kwanza ni mnalialiaga tuuu kusoma hamtaki mnapenda kubebwa kama Mkapa alivyowabeba kwa kuwapa jengo la TANESCO mkalifanya Chuo.

Ndio maan a Kikwete aliwaambia nendeni shule muache kulalamika

Teh teh....
shule tumeenda na sasa nimeagiza makadinali waje wanijibu maswali ya utatu mtakatifu mbona hawaji? na ukiwa muumini wa kikristo ukienda kwa Padri kuulizia utatu mtakatifu unafukuzwa kundini unajua kwanini?
 
Umeanza umbea kama wa dada yako Mwajuma ndala ndefu.

Ushakaa kibarazani? Kwasababu Umbea, vimisemo, kulialia na mafumbo tu ndicho mnachojua ninyi.
 
shule tumeenda na sasa nimeagiza makadinali waje wanijibu maswali ya utatu mtakatifu mbona hawaji? na ukiwa muumini wa kikristo ukienda kwa Padri kuulizia utatu mtakatifu unafukuzwa kundini unajua kwanini?
Mmeenda Madrassat
 
Ukinichagua nitaanzisha mahakama ya kazi

Ukinichagua nitajenga madrasa kila shule ya msingi

Ukinichagua waislamu wote mtakuwa marais

Mkinichagua waislamu wote mtasoma ulaya

Maendeleo hayana dini,

Chagua ccm upate maendeleo

CCM oyeee oyeee
 
Hahahahaha....na kweli CCM huwa haipati tabu kwa hawa jamaa.
 
.

Hao maaskofu wa kufundisha wapumbavu wa Aina yako tuwatoe Wapi Tanzania hii ?
Kama unaona tz kuna udini hama nchi nenda hata Zanzibar hapo viongozi wote ni waislam usilalamike!!
Si akafundishwe na Sheikh kipozeo
 
tayari nimepata fungu mbinguni kwa kuokoa wachache hata mmoja tu ataekataa hiyo dini yenu iliyojengwa katika kuta za tope za utatu mtakatifu my foot!

kila jambo na wakati wake huna taarifa wewe wazungu wanapambana dunia nzima kuzuia uislam kwani data zao zinaonesha mnamo mwaka 2070 Islam will be the biggest religion in the world!!mziki wake utaonekana wewe ukiwa mavumbini ndugu miaka mingi ijayo!

umetaja nguruwe ni haram na siwezi kusema zaidi! umenichefua mno!

Islam will be largest religion in the world by 2070, says report

Islam set to become the world’s largest religion as Muslim births increase

Why Muslims are the world’s fastest-growing religious group
Na kweli, kwa kuendelea kupata hii juice mtatoboa enyi wafuasi wa Mudy.

Allah akbar

images (43).jpg
images (44).jpg
 
mmeshindwa kuniletea kasisi kunifundisha ukristo nimehama uzi!!
Mimi nakuletea mafundisho ya Sheikh kipozeo kwanza halafu hebu tubaki kwenye mada au unaenda kutawadha?

Upo tayari kwa mafundisho step by step?
 
O
Si nyie ndio mlikuwa mnamlaumu J.K na kusema kuwa hawapendi waislam na anawapendelea Wakristo?

Ninyi tangu awamu ya kwanza ni mnalialiaga tuuu kusoma hamtaki mnapenda kubebwa kama Mkapa alivyowabeba kwa kuwapa jengo la TANESCO mkalifanya Chuo.

Ndio maan a Kikwete aliwaambia nendeni shule muache kulalamika

Teh teh....
kila siku mnaandika waraka kumponda JK , mara Dr Dau mdini , sasa hivi kawekwa mkristo mwenzenu NSSF mmetulia tuli , acheni hizo nyie watu unafiki utamiua aisee
 
O

kila siku mnaandika waraka kumponda JK , mara Dr Dau mdini , sasa hivi kawekwa mkristo mwenzenu NSSF mmetulia tuli , acheni hizo nyie watu unafiki utamiua aisee
Si unaona sasahv hakuna vimikeka nyuma ya milango ya NSSF?
 
Wanafiki wakubwa nyie Rais akiwa muislamu kelele kama chura , akiwa mkristo mwenzenu mmetulia kama mmekufa
O

kila siku mnaandika waraka kumponda JK , mara Dr Dau mdini , sasa hivi kawekwa mkristo mwenzenu NSSF mmetulia tuli , acheni hizo nyie watu unafiki utamiua aisee
Kwenye awamu ya JK nyie ndio mlikuwa mnamlaumu kuwa hawajali waislam wenzake na yupo karibu na Wakristo.

JK akawajibu kuwa mkasome muwe kama wenzenu, muache kulialia kama watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom