Gia kubwa
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 470
- 495
jenga hoja! acha povu!Huna akili
jenga hoja! acha povu!Huna akili
Sheikh Ponda ana uhuru wa kutoa mawazo kama wewe namimi kauli yake haitoki kwenye msahafu hatusikilizi!!inategemea siku hiyo kaamkaje!!Hahaha Sheikh Ponda alisema waislam huwa hawana ajenda, ajenda zao huwa wanapewana serikali.
Serikali ikiwajengea msikiti, inakuja kuuzindua, inauliza kunajingine?
Utasikia HAKUNAAAAA, Insha alah!
Kwisha.
Vituko waislamu mlianza hata kabla mwalimu hajawa raisi, ni jadi yenu. Narudia tena mtu makini hawezi tegemea sana waislamu.udini mmeusimika nyie nchini kupitia Mwalimu ambae alikufa siku nyingi hata watu hawakujua kuwa kafa wao wanajua yuko hai na mipira ya kupumulia mdomoni!! eti akasema nitamuona Rais wa tano nashangaa kwanini watoto wadogo wafe, basi Allah akamchukua haraka akaropokee vizuri ahera! Chezea Mungu wewe!!
msituzibe midomo ni haki yetu kusema hata nyie mngefanyiwa figisu hizi mngetoa matamko ya maaskofu kila siku!
Kwani idadi ni sawa?Kuna mtu anabwatuka kuomba Rais ajaye aangalie dini na ukabila
Amevaa nembo ya udini na ukabila
Wanafikiri labda tuna akili za kuku kusahau ndani ya sekunde kadhaa , tunakumbuka sanaHulka za kinafki
Hahaha msiposikiliza pia hatujali.Sheikh Ponda ana uhuru wa kutoa mawazo kama wewe namimi kauli yake haitoki kwenye msahafu hatusikilizi!!inategemea siku hiyo kaamkaje!!
sindano imekuingia tayari nahesabu vichwa tu! niletee kadinali wewe huniwezi!!Hahaha msiposikiliza pia hatujali.
Nyie mnaswali kutwa kucha, uongozi wa nini?!
Kwani hamtaki kwenda AHERA tena au mmeshachoka kumtumikia Allah mara hii?!
Hahaha hayo ya Yahya mpeee ndiyo mnaweza, Magufuli anawajengea Misikiti mswali sana, tulieni huko huko mswali hani mningu zifunguke.sindano imekuingia tayari nahesabu vichwa tu! niletee kadinali wewe huniwezi!!
Makanisa yachomwe, mapadri wauawe, wengine wamwagiwe tindi kali, maandamano ya ajabu ajabu kila kona halafu JK yupoyupo hakuna askofu atakaye nyamaza....jirekebisheniWale waliokuwa wanaandika waraka kila siku wakati wa JK walikuwa waislamu ? mnaambiana mpaka makanisani msimpigie kura JK, nyie wanafiki sana , sasa hivi anasemwa mkristo mwenzenu mnakuwa wakali, tulia tuli sindano ilipoingilia ndio inapotokea
acha povu jenga hoja!!Mawazo machafu wanayo waislamu ndio maana wamekua wakiongoza kwa kuwashuku wakristo wakizani hufanya kama wao
Vip sasa hivi Lissu kapigwa Risasi , Ben Saanane kapotea , Roma katekwa , VIPI MAASKOFU wameandika waraka gani kumpelekea JPM ? nakuongezea Uchaguzi Zanzibar wamefanya CCM na vibaraka wao maaskofu walisemaje juu ya jambo lile la JECHA ?Makanisa yachomwe, mapadri wauawe, wengine wamwagiwe tindi kali, maandamano ya ajabu ajabu kila kona halafu JK yupoyupo hakuna askofu atakaye nyamaza....jirekebisheni
Sasa wewe kutwa unashinda madrasa utaweza kwenda anga za mbalimimi siongei nawewe huna elimu ya juu ya kikristo nataka aje Kadinali ajibu yale maswali yangu kwanza!
umetaja marais walioongoza nchi katika christian system iliyooteshwa mizizi na Mwalimu na walipata disturbance kubwa kwa waraka za maaskofu zisizoisha ambazo kwasasa hatuzioni tena! wasingeweza kuibomoa system mara moja! lete points zingine!!
Huwa sijibu hoja za udini kama unayo jenga wewe.Jenga hoja au kaa kimya,unajiaibisha,
Kama yeye hana akili,basi wewe tuonyeshe hiyo akili yako uliyonayo kwa hoja na sio vioja.
Kiongozi mashehe hawana elimumimi siongei nawewe huna elimu ya juu ya kikristo nataka aje Kadinali ajibu yale maswali yangu kwanza!
umetaja marais walioongoza nchi katika christian system iliyooteshwa mizizi na Mwalimu na walipata disturbance kubwa kwa waraka za maaskofu zisizoisha ambazo kwasasa hatuzioni tena! wasingeweza kuibomoa system mara moja! lete points zingine!!
Wewe tahira mkuu,Hivi huna unalowaza kichwani zaidi ya udini auacha propaganda mkuu hapa tunaangalia data sisi , kati ya wakristo na waislam ni nani wanapewa nafasi za ajira kubwa na elimu ya juu? hebu hesabu tu baraza la mawaziri wakristo wangapi waislam wangapi ina maana kuna wasomi wangapi waislam hawana vyeo na wamesoma sana? jifunze kusema ukweli!
mkuu acha unafiki, nikuulize na sema ukweli wako tafadhali hapa bongo tukiweka muislam na mkristo wenye sifa sawa kugombea nafasi ya kazi ni yupi huwa anapewa kipaumbele bongo? iambie nafsi yako ukweli! hivi dini yako potofu unayoiamini si ina amri kumi? na mojawapo si mnaambiwa mseme ukweli kule makanisani kwanini sasa wewe unapindisha ukweli huogopi kwenda motoni wewe? au unajivunia Yesu anabeba dhambi zako nawewe kuendelea na maovu? au kwa vile unajua utafanya maovu na kwenda kwa padri (binadamu kama wewe mwenye madhambi kuliko wewe ya kuchukua waumini wake za watu) kuungama badala ya kuomba msamaha kwa Mungu?
Mwenzenu katumbuliwa jana kwa kuchukua wake za watu na yule mwingine alitumbuliwa kwa ulevi!!
Ustadhati mbona mna roho ngumu sanaudini mmeusimika nyie nchini kupitia Mwalimu ambae alikufa siku nyingi hata watu hawakujua kuwa kafa wao wanajua yuko hai na mipira ya kupumulia mdomoni!! eti akasema nitamuona Rais wa tano nashangaa kwanini watoto wadogo wafe, basi Allah akamchukua haraka akaropokee vizuri ahera! Chezea Mungu wewe!!
msituzibe midomo ni haki yetu kusema hata nyie mngefanyiwa figisu hizi mngetoa matamko ya maaskofu kila siku!
Haaa na wewe umesoma chuo Tanzaniadawa imekuingia tayari mi nawahesabu tu!! mi nimesoma christianity pale Mlimani chini ya bonge la Profesa na nimemuelezea Mungu wenu wa kikristo jinsi nilivyofundishwa pale Mlimani si Mungu wa kiislam mwenye majina 99 takatifu na sifa zisizoelezeka , mkuu usinipotezee akili zangu hebu niletee Kadinali wewe you have no capacity to understand what i write!
hahaha! hebu read again between the lines my first comment katika uzi huu then utajua akili zangu zimezidi sababu hakuna mkristo anaweza kumaliza kusoma my comment na asinijibu kwa maneno au moyoni mwake tu!!na ninaamini wapo wataosilimu kwa sauti na wengine watasilimu kwa siri moyoni kuogopa wanadamu nae Allah atawahesabu ni muslims wasihofu!Sasa wewe kutwa unashinda madrasa utaweza kwenda anga za mbali