Dini mpya itaenea katika nchi

Dini mpya itaenea katika nchi

Nimeamka asubuhi leo nikaamua kusoma Hadith. Nilikuwa nafikiria"hawa Waislamu wanaitwa wastaarabu lakini mbona hawafanyi mambo ya kistaarabu barabarani"?
Nikasoma,baada ya muda nikaifikia hii statement,
Allah's Apostle said, "By Him in Whose Hands my life is, none of you will have faith till he loves me more than his father and his children."
Halafu hii statement,
The Prophet said "None of you will have faith till he loves me more than his father, his children and all mankind."
Kabla ya hapo Muhammad alikuwa amesema,
The Prophet said, "None of you will have faith till he wishes for his (Muslim) brother what he likes for himself." .
Ugomvi wangu na hizi statements,hii ya chini,kwa mfano,"Waislamu wapendane",ina maana upendo ni kwa Waislamu wenyewe,hauwahusu watu wengine.
Au ukisema "Waislamu wasimpende baba yao au mama yao au mtoto wao,ila wampende Mtume tu.
Au unaposema dunia nzima isipendwe isipikuwa Muhammad tu. Hiyo siyo recipe for terrorism?
Kwahiyo kwa mfano mtu akisema anaipenda familia yake kuliko kitu chochote ina maana anawachukia watu wengine wote isipokuwa familia yake tu?
 
Usimhukumu mtu. Hukumu matendo yake. Yule Kamanda wa Polisi Kilimanjaro amewakamata vijana wachache,kawapeleka kituoni,anasema,"Nyinyi ndio panya road wa Kilimanjaro? Mnasumbua wananchi" Amesema,in effect,"natamani niwaue sasa hivi,muache kuleta fujo."
Usimhukumu mtu. Waambie tu," nyie vijana,sijui mna matatizo gani,lakini mmevunja sheria, na sisi lazima tuwachukulie hatua".
 
Wapo watu walikuwa wanaleta fujo. King David akasali kwa Mungu,amueleze hawa watu ni kina nani ili wachukuliwe hatua. Mungu akamwambia King David,"Kwani Mwenyezi Mungu ataanza sàsa kuongea mambo ya fitina. Ni juu yako mwenyewe kuwatafuta hao watu."

Kama Mungu haongei mambo ya fitina,kwa nini sisi tunaongea mambo ya fitina na hizi kura zetu za maoni?
 
Kuoa siku hizi ni kuingia kwenye mapambano.
Kama ukitaka ubaki na amani kuna option mbili tu.Aidha uwe mteja wa waganga wa kienyeji ununue jini la kukupa nguvu za kiume(zile dawa huwa ni majini) ili mwanamke apate raha ya ajabu asitoke nje,au utafute michepuko ili usiumize moyo wako kwa hawa wanawake wa siku hizi
 
Back
Top Bottom