Dini imetekwa na miujiza

Dini imetekwa na miujiza

Sasa utasemaje wanatapeliwa wakati wanasukuma mikoko ya maana😅
Wengine wametoa mikoko hiyo hiyo kama sadaka kanisani, nina mfano wa mama ambaye alitoa gari kwa mchungaji eti kaonyeshwa kuwa linatakiwa kwa ajili ya kazi, kilichotokea siwezi hata kukisema.
 
Mbona misikitini na kwenye makanisa ya wasabato ijumaa na jmosi hakuna ndinga nyingi kuliko hayo makanisa unayosema? Am just curious!!
Inategemeana umeenda msikiti gani au kanisa gani? Watu ni hawa hawa unawaona barabarani na maofisini.Wako na dini zao mbalimbali ukitaka kufanya uchunguzi utaona tu ukienda makanisani na misikiti mikubwa.
 
Back
Top Bottom