Dini imeingiliwa?

Dini imeingiliwa?



Hii ishu ya huyu 'nabii' ilishafikishwa kwenye vyombo vya kisheria na ndoa ilivunjwa kisheria 2014, miaka 8 iliyopita!
Sijui ninini kilichoiibua tena hivi karibuni! Ama pengine ni ujio wa huyo nabii ziara ya Dar?

Kwa nini akaamua kuwatumia hawa ma ustaadh kama dodoki? Na kwanini nao hata kama ni kuamua kumsafisha mtu kwanini wasingekuwa well informed? Mbona nao wamedanganywa na kupotoshwa?
Nina maslahi na hili dodoki lao kwakuwa mada ya kwanza niliandika mimi 2014, na kwenye blahblah zao imetajwa mitandao ya kijamii na JF kama mfano hai?
Kuna bongo movi gani tunaandaliwa hapa? Ya PAP? Ama kuna nyingine yaja?

Nimejisikia vibaya wale "ma sheikh" walivyokuwa wanajidhalilisha mbele ya camera! Hivi ni uchungu gani huo mkubwa uliowapata kwa mtu aliyethibitishwa ugoni?

Kuna mix grill tunachanganyiwa hapa
Masheik halisi na hawa wa nabii
Manabii wengine waliopondwa na huyo nabii wa hao masheikh ubwabwa.. Kuna uchonganishi unatengenezwa wadanganyika!
Gutukeni

Mashehe fanyeni kazi njaa zitawaua.
 
CCM kuna kitu wanachokonoa

Utatu Mtakatifu ni fumbo la Imani kwa sisi wakiristu Wakatoliki! @ccm_tanzania acheni masihara na imani za watu! Mngejua maana ya utatu mtakatifu msingefanya hii kitu hapa
20221209_145246.jpg
 
Tukiwaambia hizi dini ni story tu hamuamini masheikh wenu wanamtetea kafir sasa
Kwahiyo sababu "masheikh" wanamtetea kafiri ndio nini?

Hii Dini imehifadhiwa. Na itabaki kama ilivyo.

Hii Dini imehifadhiwa

The Messenger of Allah (sallallāhu alaihi wa sallam) said, “There will not cease to be a group of my Ummah uppermost upon the truth. They will not be harmed by those who forsake them, until Allah’s affair comes to pass and they are uppermost.” [Reported by Muslim]’

The Prophet (sallallaahu alaihi wa sallam) said,

“This knowledge will be carried by the trustworthy ones of every generation. They will expel from it the alterations made by those going beyond bounds, the false claims of the liars and the false interpretations of the ignorant.”

Reported by Ibn ‘Adiyy, Ibn ‘Asaakir and others and it is saheeh.


Kama hata Ma Imam na Masheikh wanaoheshimika na waliosimama sawasawa wanafuatwa pale wanapofuata Qur'an, na Sunnah juu ya Ufahamu wa Salaf Saalih, itakuwa hao watu waliochanganyikiwa hapo ambao hata hatuwasikilizi kabisa.

Katika Dini hii, haitakiwi kufuata kichwa mchunga, mpotofu anaachwa hafuatwi bali mtu anayezusha katika Dini anarudishiwa jambo lake mwenyewe;

Aisha reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Whoever innovates into this matter of ours that which does not belong to it, it will be rejected.”

In another narration, the Prophet said, “Whoever performs a deed that is not in accordance with our matter, it will be rejected.”

Source: Ṣaḥīḥ al-Bukhārī 2697, Ṣaḥīḥ Muslim 1718

Grade: Muttafaqun Alayhi (authenticity agreed upon) according to Al-Bukhari and Muslim

Kila mmoja wetu inachukuliwa au kurudishwa kauli yake isipokuwa Mtume ﷺ ndie ambaye hairudishwi kauli yake kama alivyosema Imam Malik(Rahimahullah);

"Imām Mālik Ibn Anas (rahimahullāhu ta’ālā) said: “Everyone’s speech is either accepted or it is rejected, except for the companion of this grave.” And he pointed towards the grave of the Prophet (sallallāhu ‘alayhi wa sallam). Imām Mālik was a scholar of Madīnah"

Msome pia Imam Shaafi'i (Rahimahullah)

"This was the position of Imām ash-Shāfi’ī (rahimahullāhu ta’ālā). He said: “If my speech differs with the speech of the Messenger of Allāh (sallallāhu ‘alayhi wa sallam), then throw my speech against the wall and take the speech of Allāh’s Messenger (sallallāhu ‘alayhi wa sallam)."

Hao Ma Imaam wakubwa wawili niliowanukuu hapo ni baadhi tu ya Wanachuoni wakubwa mno wa Kiislam.

Sasa hao wahuni unaowaita "masheikh" ni akina nani??

Katika Uislam tuna marejeo yetu. Na kauli zetu zinapimwa katika Mizani ya Qur'an na Sunnah juu ya ufahamu wa Salaf Saalih.

Itakuwa hao wahuni ambao wanaongea vitu havipo katika Uislam kabisa.

Hao watapuuzwa tu.

Watu mnaoshangaa like "daah hadi mashehe!!" na mkadhani Uislam umeangamia hamuujui Uislam nyinyi. Hii Dini imehifadhiwa aisee.
 
Napenda kutolea ufafanuzi juu ya hili nilipewa Zawadi ya gari na mtumishi anayejiita Nabii Mkuu na sio hiyo gari mnayoiona kwenye picha ila utata umekuja pale ambapo watu wa George kasambale wanapohitaji nije kushukuru kanisani kila wakati Siwezi pia mm nina magari mengi tu
20230204_035506.jpg
 
"Waliotuletea dini wametupenyezea mila zao majina yetu yameonekana na kipagani na yao ya kitakatifu hata mtu ukimsilimisha inabidi umpe jina la kiarabu ili awe mwislamu la hasha hata mtume hakuja kuharibu mila zetu ila waliotuletea"

Hata sisi wakristo mtu ukiitwa atusiyile mwakipesi ni jina la kipagani ila ukiitwa john wewe umeokoka

Najua wafia dini watachukia sana hili ila sheikh kaongea point kubwa sana
 
Back
Top Bottom