Dini imeingiliwa?

Dini imeingiliwa?



Hii ishu ya huyu 'nabii' ilishafikishwa kwenye vyombo vya kisheria na ndoa ilivunjwa kisheria 2014, miaka 8 iliyopita!
Sijui ninini kilichoiibua tena hivi karibuni! Ama pengine ni ujio wa huyo nabii ziara ya Dar?

Kwa nini akaamua kuwatumia hawa ma ustaadh kama dodoki? Na kwanini nao hata kama ni kuamua kumsafisha mtu kwanini wasingekuwa well informed? Mbona nao wamedanganywa na kupotoshwa?
Nina maslahi na hili dodoki lao kwakuwa mada ya kwanza niliandika mimi 2014, na kwenye blahblah zao imetajwa mitandao ya kijamii na JF kama mfano hai?
Kuna bongo movi gani tunaandaliwa hapa? Ya PAP? Ama kuna nyingine yaja?

Nimejisikia vibaya wale "ma sheikh" walivyokuwa wanajidhalilisha mbele ya camera! Hivi ni uchungu gani huo mkubwa uliowapata kwa mtu aliyethibitishwa ugoni?

Kuna mix grill tunachanganyiwa hapa
Masheik halisi na hawa wa nabii
Manabii wengine waliopondwa na huyo nabii wa hao masheikh ubwabwa.. Kuna uchonganishi unatengenezwa wadanganyika!
Gutukeni

Hata mimi nilipowaona nikajua kabisa HAWA NI MASHEIKH UBWABWA KABISA NA HAWAJUI HATA WANACHOKIONGEA
 
Hawa hapa ndugu zako
FB_IMG_1670425467857.jpg
 
Back
Top Bottom