hellow,me ni new member jaman naomben ushaur wenu,me ni gal na nnaishi na boy ila hatujafunga ndoa nampenda sana na yeye ananipenda pia bt problem ni din ze2 me ni mkristo tena mlokole na yeye ni muislam hamna aliyetayari kubadili dini nampenda kuachana tumeshindwa na ameshanitambulisha adi kwao,pia anahofia tofauti ya elimu zetu kwan yeye ata la saba hajamaliza na mimi nipo chuo kikuu pia hali zetu za maisha ni tofauti ila pamoja na ayo yote nampenda sana na nimetumia fedha zangu nyingi 2 ili kumuwezesha
Nakushauri huu ndio ushauri wa kuufata kama utapenda uwe na amani, Waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wakristo, ila wanawake wa kiislamu hawaruhusiwi kuolewa na wanaume wakristo.kama huna cha kunishauri u beta kip quite..abt chuo gani haikuhusu.
Chakukushauri hapo ni bora ukamtafuta mtu mwingie kwa hiyo dini ya kislamu itakuwa tatizo kwako kwani jamaa sahizi anakuwa mpole coz we ndo unambeba,pia jaribu kutafuta mtu japo mwenye elimu kidogo kwa manufaa ya watoto mtakao wazaa! nikichekesho mama chuo,baba la nne.
Wapeni wazazi suprise ya katoto wataingia line tu. . . .umeskia mamaa. . .
Nakushauri huu ndio ushauri wa kuufata kama utapenda uwe na amani, Waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wakristo, ila wanawake wa kiislamu hawaruhusiwi kuolewa na wanaume wakristo.
Piga chini huyo jamaa kesha kwenye maombi na mungu atakupa mkristo mwenzio safi kabisa, na usiwe mvivu wa kuhudhuria function mbalimbali utampa mwenzako kirahisi kabisa. kama unamng'ang'ania huyo jamaa basi inaonekana labda huna mvuto ndio maana unaona hiyo ni nyota ya Jaha kwako.
Piga chini fasta huy