dini,elimu,vinatukwamisha...

dini,elimu,vinatukwamisha...

hellow,me ni new member jaman naomben ushaur wenu,me ni gal na nnaishi na boy ila hatujafunga ndoa nampenda sana na yeye ananipenda pia bt problem ni din ze2 me ni mkristo tena mlokole na yeye ni muislam hamna aliyetayari kubadili dini nampenda kuachana tumeshindwa na ameshanitambulisha adi kwao,pia anahofia tofauti ya elimu zetu kwan yeye ata la saba hajamaliza na mimi nipo chuo kikuu pia hali zetu za maisha ni tofauti ila pamoja na ayo yote nampenda sana na nimetumia fedha zangu nyingi 2 ili kumuwezesha

Wapeni wazazi suprise ya katoto wataingia line tu. . . .umeskia mamaa. . .
 
Tatizo naloliona hapa ni dini, maana hii ni tafsiri unayoipata wewe nafsini mwako.

Elimu, ni more tricky, haina jibu la ndio au hapana. Swali la msingi, is he a man enough to handle you + elimu yako?
Kuhusu kipato, ni mtu mwenye sense of achievement? Wasomi wangapi wafujaji wanakufa bila hata kibanda cha mkaa??

Nitakufuata PM nikupe uzoefu wangu wa elimu za wenza, hazina mantiki kivile.
 
sikushauri kabisa wachana naye kabisa
 
kama huna cha kunishauri u beta kip quite..abt chuo gani haikuhusu.
Nakushauri huu ndio ushauri wa kuufata kama utapenda uwe na amani, Waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wakristo, ila wanawake wa kiislamu hawaruhusiwi kuolewa na wanaume wakristo.

Piga chini huyo jamaa kesha kwenye maombi na mungu atakupa mkristo mwenzio safi kabisa, na usiwe mvivu wa kuhudhuria function mbalimbali utampa mwenzako kirahisi kabisa. kama unamng'ang'ania huyo jamaa basi inaonekana labda huna mvuto ndio maana unaona hiyo ni nyota ya Jaha kwako.

Piga chini fasta huyo aende madrasa akatafute Muislamu mwenzake, maana Uislamu unabaguwa wakristo.
 
Ni ngumu sana kuchanganya mafuta na maji, ipo siku tofauti itaonekana ni kuhusu elimu, kama kweli unampenda mwendeleze mwenzio kielimu
 
Chakukushauri hapo ni bora ukamtafuta mtu mwingie kwa hiyo dini ya kislamu itakuwa tatizo kwako kwani jamaa sahizi anakuwa mpole coz we ndo unambeba,pia jaribu kutafuta mtu japo mwenye elimu kidogo kwa manufaa ya watoto mtakao wazaa! nikichekesho mama chuo,baba la nne.
 
thanx,nimekusoma
 
Nakushauri huu ndio ushauri wa kuufata kama utapenda uwe na amani, Waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wakristo, ila wanawake wa kiislamu hawaruhusiwi kuolewa na wanaume wakristo.

Piga chini huyo jamaa kesha kwenye maombi na mungu atakupa mkristo mwenzio safi kabisa, na usiwe mvivu wa kuhudhuria function mbalimbali utampa mwenzako kirahisi kabisa. kama unamng'ang'ania huyo jamaa basi inaonekana labda huna mvuto ndio maana unaona hiyo ni nyota ya Jaha kwako.

Piga chini fasta huy
 
Katubu kwanza kosa la uzinzi harafu ndio uanze kuangalia ni jinsi gani utamshawishi na mwenzako aokoke.
 
hellow,me ni new member jaman naomben ushaur wenu,me ni gal na nnaishi na boy ila hatujafunga ndoa nampenda sana na yeye ananipenda pia bt problem ni din ze2 me ni mkristo tena mlokole na yeye ni muislam hamna aliyetayari kubadili dini nampenda kuachana tumeshindwa na ameshanitambulisha adi kwao,pia anahofia tofauti ya elimu zetu kwan yeye ata la saba hajamaliza na mimi nipo chuo kikuu pia hali zetu za maisha ni tofauti ila pamoja na ayo yote nampenda sana na nimetumia fedha zangu nyingi 2 ili kumuwezesha

una ugonjwa wa malav dav.....mwone daktari,
i did nt expect to hear this from chuo kikuu.....
Chuo kikuu`~~less than 7? Una matatizo
 
wewe ni mlokole?
hahahaha..........dini zimevamiwa,
akija israeli kuna watu watajificha kwa walevi,
wewe mlokole iweje unavunja amri?
***siyo wote wanaosema bwana bwana wataingia mbinguni****
 
Ingekuwa hili jambo linanihusu nisingehangaika hata kuomba ushauri coz jibu nalijua.Huna hela,huna elimu alafu unakuwa kibuli kuburi kubadilisha u Al-shabab wako?
 
Back
Top Bottom