dini,elimu,vinatukwamisha...

dini,elimu,vinatukwamisha...

mlokole anayeishi na mwanaume kinyumba......

mwanaume anakupenda wewe au fedha zako unazomuwezesha?

Nakutakia mapenzi mema.....

Kasome amri ya sita inasemaje
 
jamani hiki kiswahili mbona kinapotea ki uandikaji.maana nikiangalia spelling,mmmh au ndio ujana?kuhusu suala la dini,kama una uwezo wa kujuendeleza huyo kijana ungejitahidi kufanya hivyo.maana humo ndani ukiwa kila kitu wewe na maisha ya sasa ni kusaidiana mwisho wa siku inakuwa ngumu.zingatia hayo kwanza
 
okey nashukuru sana,spelling zisikutishe ni ujana tu.
 
Je, nyinyi wenyewe mpo tayari kufunga ndoa ya serikali , na kila mtu abaki na dini yake?
 
nivizuri ukamshilikisha mungu na ukaweka Imani kwake Ili akuongoze ktk kufanya maamuzi...maandiko yanasema hakuna jambo gumu mbele za mungu!
 
Mwaya we achana nahao wanao kujudge, who the hell are they to judge you!!! Kwanza wengine hata mademu hawana wanaona wivu.com. 100% wanaokusema mzinzi wote wafanyaji! Ngoja mie dada yako nikushauri!!!

Mie mwenyewe zama hizoooo nilikuwaga na Mupenzi Muislam, Chotara dada, ndo kanifundisha uislam kidogo.LOL! Sasa kama wewe hivo nilijikuta nipo mtu kati,sina la kufanya! Hopefully ulikuwa utoto tu ule, nilivokua yule bwana nilimpa cha mbavu!!! Ila suluhisho lipo!

Kama kweli mnapendana, haina haraka ya kutaka sijui kufunga ndoa, au kuzaa!!! Nyie jilieni rahaa zanu tu, mradi mwaelewana jst enjoy lie, msijipe presha ya kuhalalisha mambo. With time and age, mtakuwa wiser and kama mtakuwa destined together mbeleni mambo yatakuwa rahisi! Ukifika 28 yrs au 30 ukaamua kuzaa na huyo kaka, no body will care, sababu utakuwa unajitunza wenyewe na maisha yako!!! Tena ukikaribia 40s watakushauri wenyewe uolewe na huyo kaka. Saivi ni wana wasiwasi tu kuwa UTOTO unakusumbua. Bt mkidumu 10 yrs wapenzi people will take you seriously. Alafu mbona bomani kupo?
 
nivizuri ukamshilikisha mungu na ukaweka Imani kwake Ili akuongoze ktk kufanya maamuzi...maandiko yanasema hakuna jambo gumu mbele za mungu!

thanx naomba naamini atafanya njia ktk ili.
 
Mwaya we achana nahao wanao kujudge, who the hell are they to judge you!!! Kwanza wengine hata mademu hawana wanaona wivu.com. 100% wanaokusema mzinzi wote wafanyaji! Ngoja mie dada yako nikushauri!!!

Mie mwenyewe zama hizoooo nilikuwaga na Mupenzi Muislam, Chotara dada, ndo kanifundisha uislam kidogo.LOL! Sasa kama wewe hivo nilijikuta nipo mtu kati,sina la kufanya! Hopefully ulikuwa utoto tu ule, nilivokua yule bwana nilimpa cha mbavu!!! Ila suluhisho lipo!

Kama kweli mnapen
 
yeah sisi hatuna tatizo
lara 1 kamaliza kila kitu, sure take your time hii itawapa uhakika kweli kujua mume-born to each other au ilikuwa ni mapenzi tu ya utotoni, After some time pass mkaona kweli you were meant to each other wazazi wenyewe hawataongea tena sana, mtakuwa mumewathibitishia dhamira zenu, then mtafunga tu ndoa ya kiserikali kulingana na time itakavyowaambia.
 
Last edited by a moderator:

yap,nimemsoma.thanx much
 
Last edited by a moderator:
kha!! wee mlokole gani una cohabbit? mapya haya!!
wewe kama dini ni kipengele muhimu maishani mwako basi ni vyema mkabwagana tuu....nothing gug with come out off this relationship

swali la msingi sana ulilouliza maana na mie nimeshangaa kidogo. hajatengwa bado? au anaishi naye kwenye mkoa tofauti? i really dnt get it
 
Kama wazazi ndo kikwazo ongea na jamaa ako akupujauzito as long as upo chuo kikuu haitakuwa tatizo sana then kawajulishe wazazi wako kama hawatakufukuzia hukohuko kwa huyo jamaa.Then mnaanza maisha yenu.
 
nimeipenda iyo.
 
Kijana wa ki islam safi sana, bora usimwache mana atakuingiza kwenye dini ya haki 😛oa
 
Upendo ni nini? UPENDO NI KUJITOA KWA AJILI YA MWINGINE,upendo wa kweli haujali dini,pesa,mavazi au tofauti za mawazo.Japo mambo hayo ndiyo yanayozingatiwa na jamii.KAMA KWELI MNAPENDANA jiandaeni kupambana na vikwazo ila kama upendo uko upande mmoja,,yote ni kazi bure.NAKUTAKIA WAKATI MGUMU LAKINI WENYE USHINDI
 
Asante,2zidi kuombeana naamini tutayashinda.
 
Back
Top Bottom