dini,elimu,vinatukwamisha...

Natami mno kukwambia achana nae fasta
but najizuia
love is blind
 
Never dated a partiner from different religion/denomination.
Hapo kwa kweli tumia akili zako na zakuambiws

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Pole xana but ucjali ndo umeambiwa utamwacha baba yako na mama yako ucjali kuhusu dini tanzania hakuna udini wote tunamwabudu Mungu mmoja zidisha maombi ntafanikiwa 100%-)

Alas! Nani kakwambia!
 
Haya mambo ya dini siyaerewi. kuna swahiba wangu nae wazazi wa kike hawa taki binti abadiri dini, na wakiume nao wanasema kama anaoa hivyohivyo basi atakua kaorewa nasio kaowa.
 

pamoja na tofauti zenu zote, cha msingi ni kuwa una upendo wa dhati? Then uko tayari awe mwenzi wako wa ndoa? Kama yote ndio. Suala la elimu halina shida coz huolewi na madarasa bali mtu, then suala la dini linajadilika usjal!
 

Naamini humpendi hivyo kama unavyotueleza kwani ungelikwishavivuka vikwazo vyote hivyo. Nionavyo mimi uhusiano wenu ni mahusiano ya "convinience" yaani huyo mtoto anajichunia nawe unapata damu changa.
Usijali dadaangu hapo hamuhitaji ndowa bali muendelee kutumikana mpaka mmoja apoteze sababu za mahusiano yenu.
 
em tizama unavyojikoroga mwenyewe.hapo kwenye red.. uko chuo kikuu kipi?????
mie mwanafunzi wa chuo kikuu veta, unasoma course gani "jografiya"

mie mwenyewe nimechezwa na machale hapa, au ndo product za st. kayumba?
 
Haya mambo ya dini siyaerewi. kuna swahiba wangu nae wazazi wa kike hawa taki binti abadiri dini, na wakiume nao wanasema kama anaoa hivyohivyo basi atakua kaorewa nasio kaowa.
samahani mkuu ww ni afande?
 

mydear huyu mlokole, pastor ake,arudi chuo..mwanakondoo wake wa practicle anamlet down
 
Last edited by a moderator:
samahani mkuu ww ni afande?

hahahahahahaahahah...jamaan jf raha..siku yangu nlikuwa siielewi elewi,.but with this comment,nmejikuta mpya tena! Unakuta mtu anasema rara,au tamthiriya..teh teh
 
pamoja na tofauti zenu zote, cha msingi ni kuwa una upendo wa dhati? Then uko tayari awe mwenzi wako wa ndoa? Kama yote ndio. Suala la elimu halina shida coz huolewi na madarasa bali mtu, then suala la dini linajadilika usjal!

thanx dia
 

kama nakuelewa afu kama ckuelewi
 
Tofauti ya elimu kati yenu ni kubwa sana, hiyo inaweza kuja kuleta matatizo mbele ya safari. Kwa sasa kwa kuwa mapenzi ni motomoto unaweza usione kuwa ni tatizo, lakini kwa uzoefu nilionao itawaletea shida mbele ya safari. Ujue kuwa mwanaume ni kiongozi katika familia. sasa kutokana na elimu yako ni wazi kuwa kutakuwa na mambo mengi unayojuwa kumpita yeye, na wakati mwingine akafanya makosa ambayo hutajizuia kumkosoa na yeye akachukulia kuwa unamnyanyasa kutokana na elimu yako, na hivyo kuleta mizozo. Hakuna mwanaume ambaye angependa mke wake awe juu yake (awe kiongozi). Huo ndio ukweli achana na porojo za wanaosema kuwa mwanamume na mwanamke wako sawa (wanaweza wakawa sawa lakini si sawasawa).

Pricesitor kwanini unataka kumwacha Yesu? Nakushauri ufikiri upya kabla hujachukua uamuzi ambao utakuja kuujutia milele. Kumbuka Yesu ndiye njia pekee ya kupitia kwenda mbinguni. Soma Matendo 4:12 ,. Mungu akubariki
 
Kama ni hivyo fanya maamuzi magumu ya kuachana na huyo kijana, utapata taabu baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…